Chadema na CCM wanawakati mgumu sana uchaguzi mdogo Igunga.

Apta Kayla

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
324
71
CCM: Kwa sababu ya 'siasa zao uchwara' wamesababisha mbunge kipenzi wa wananchi wa Igunga ajiuzulu.
CDM: Walikuwa wa kwanza kumtangaza RA fisadi, wameendelea kumbana na kuibana Serikali imfikishe mahakamani kwa kumuhusisha na wizi wa Fedha za EPA kupitia Kagoda, msukumo ambao umepelekea wana CCM wamtake ajivue gamba, hivyo basi CDM wamechangia kwa kiasi kikubwa RA kujiuzulu.
 
Inawezekana CCM wakawa na wakati mgumu kama kweli alikuwa kipenzi chao. Kwa upande wa CDM sidhani kama wana wakati mgumu kwa vile sasa wananchi wanaweza kuunganisha ugumu wa maisha na ufisadi.
 
Nawahurumia sana hawa c.c.m wanapoteza maimbo yote ya mapacha wa3 yanaenda CDM ,hasa hili la igunga mh zito ameshasema mapema
 
Back
Top Bottom