Wito wangu ni kwa Mh Rais.. tunaomba uziangalie hizi taasisi mbili kwa upya kwa sababu hawafanyi kazi zao zinavyopaswa na kuumiza watanzania kwa kiasi kikubwa sana.
TBS IMESHINDWA KUWAJIBIKA VITU FAKE NI VINGI NA VIMETAPAKAA NA HAKUNA ANAYESHUGHULIKA
Tukianza kuanzia mafuta,sabuni (vipodozi...
Hii clip iliwekwa kama sikosei ni kwa juma lokole lakini ikawa deleted, kama kuna sehemu inaitwa kinondoni kwa abas tarimba basi maeneo hayo na jina lililotajwa sana me nilikuwepo hospitali nilipowaona majeruhi. Sikai maeneo hayo. Na video ilikuwa inaonyesha vizuri sana sijui kwa nini Ali delete...
Jana kulikuwa na shoot out kinondoni na wananchi wengi wameumizwa lakinj polisi kimya kama hakujatokea kitu, ulikuwa ni ugomvi kati ya mmiliki aliyenunua eneo anayetaka kubomoa na wananchi.
Kuna video clip ilipostiwa ambayo ilikuwa deleted chaaap inaonyesha maaskari ambao sina uhakika ni police...
Sasa unadhani anaetumia solar anajikomesha au anakomesha tanesco?? Maeneo ya vijijini bado ni 27000 kama hawaingizi umeme ni tatizo jingine na mjini ni 321000 sasa umejenga nyumba kuanzia mil 10 kwenda juu unataka umeme wa 27k?? Hata circuit breaker na main circuit yako tu ni ghali kuliko hiyo...
Je umemuona pediatrician (dkt wa watoto) ndo kakupa hayo maelekezo au umeenda hospital ya alergy wamempima tu?? Alikuwa na shida gani hadi wampime alergy?? Hii iliwahi kunitokea mtt mdg alikuwa anawashwa mwilini nilizunguka sana nikaenda hospital ya alergy wakampima wakasema anaalergy karibu...
Naomba kuchukua nafasi hii kuelezea changamoto zetu na kutoa pendekezo kuwa wilaya ya ubungo igawanywe itoke wilaya ya ubungo na kibamba ili tupate mbunge, dc, das na halmashauri yetu. Kwa kuwa sisi wakazi wa kipande cha kuanzia Mbezi makabe, msakuzi,Msumi, mpiji yote na kidimu hawa viongozi...
Kiukweli naomba kujua taratibu za kufata kuhusu hili, kuna kanisa limepanga kwenye kiwanja jirani hapa ni La mabati ila jamani hizi kelele ni kubwa sana akifungulia anaweka flash sauti kubwa na hilo base hadi vioo vinatikisika akiambiwa anapunguza nusu saa anaweka tena, ni mjeuri na waumini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.