Search results

  1. winky

    Series (Special thread)

    sorry naomba kufahamishwa, kudownload hizi series episode au movie kupitia torrent au direct kama nkiri ipi ina unafuu wa mb??
  2. winky

    Series (Special thread)

    akeshaondoka hii season 4 na ya mwisho 5 hatokuwepo kambadili liam hermsworth kama sijakosea jina.
  3. winky

    TBS na TFDA zimeshindwa kuwajibika ipasavyo na kuwaumiza Watanzania

    Wito wangu ni kwa Mh Rais.. tunaomba uziangalie hizi taasisi mbili kwa upya kwa sababu hawafanyi kazi zao zinavyopaswa na kuumiza watanzania kwa kiasi kikubwa sana. TBS IMESHINDWA KUWAJIBIKA VITU FAKE NI VINGI NA VIMETAPAKAA NA HAKUNA ANAYESHUGHULIKA Tukianza kuanzia mafuta,sabuni (vipodozi...
  4. winky

    Natumia laini ya ttcl ila kuanzia juzi haisomi kwenye data ninaomba msaada

    Allow data roaming kwenye simu yako mana tuna roam na airtel
  5. winky

    Mashambulizi ya risasi jana Kinondoni mbona Polisi wako kimya? Hakuna taarifa yoyote?

    Hii clip iliwekwa kama sikosei ni kwa juma lokole lakini ikawa deleted, kama kuna sehemu inaitwa kinondoni kwa abas tarimba basi maeneo hayo na jina lililotajwa sana me nilikuwepo hospitali nilipowaona majeruhi. Sikai maeneo hayo. Na video ilikuwa inaonyesha vizuri sana sijui kwa nini Ali delete...
  6. winky

    Mashambulizi ya risasi jana Kinondoni mbona Polisi wako kimya? Hakuna taarifa yoyote?

    Jana kulikuwa na shoot out kinondoni na wananchi wengi wameumizwa lakinj polisi kimya kama hakujatokea kitu, ulikuwa ni ugomvi kati ya mmiliki aliyenunua eneo anayetaka kubomoa na wananchi. Kuna video clip ilipostiwa ambayo ilikuwa deleted chaaap inaonyesha maaskari ambao sina uhakika ni police...
  7. winky

    Serikali punguzeni gharama za kuingiza umeme ili mkusanye kodi

    Sasa unadhani anaetumia solar anajikomesha au anakomesha tanesco?? Maeneo ya vijijini bado ni 27000 kama hawaingizi umeme ni tatizo jingine na mjini ni 321000 sasa umejenga nyumba kuanzia mil 10 kwenda juu unataka umeme wa 27k?? Hata circuit breaker na main circuit yako tu ni ghali kuliko hiyo...
  8. winky

    Msaada wadau, Mtoto mdogo wa mwaka mmoja amekatazwa vyakula, ana allergy sasa

    Je umemuona pediatrician (dkt wa watoto) ndo kakupa hayo maelekezo au umeenda hospital ya alergy wamempima tu?? Alikuwa na shida gani hadi wampime alergy?? Hii iliwahi kunitokea mtt mdg alikuwa anawashwa mwilini nilizunguka sana nikaenda hospital ya alergy wakampima wakasema anaalergy karibu...
  9. winky

    Generator gani ni nzuri?

    Nyumba yenye 3 phase je yenye vitu vingi vya umeme vikubwa?!
  10. winky

    Rais Samia tusaidie Wilaya ya Ubungo kuna kero kubwa

    Sio kidimu ya pwani kuna kidimu njia ya kupita msitu wa pande kama unaebda tokea bunju mbele ya mpiji mwisho.
  11. winky

    Rais Samia tusaidie Wilaya ya Ubungo kuna kero kubwa

    Naomba kuchukua nafasi hii kuelezea changamoto zetu na kutoa pendekezo kuwa wilaya ya ubungo igawanywe itoke wilaya ya ubungo na kibamba ili tupate mbunge, dc, das na halmashauri yetu. Kwa kuwa sisi wakazi wa kipande cha kuanzia Mbezi makabe, msakuzi,Msumi, mpiji yote na kidimu hawa viongozi...
  12. winky

    Sample za milango mizuri ya mbele

    Nenda insta msearch mtu anaitwa moe hardware. Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
  13. winky

    Makelele ya makanisa kwenye makazi siyo sawa kidini, wala kisheria; yadhibitiwe kama makelele mengine

    Kiukweli naomba kujua taratibu za kufata kuhusu hili, kuna kanisa limepanga kwenye kiwanja jirani hapa ni La mabati ila jamani hizi kelele ni kubwa sana akifungulia anaweka flash sauti kubwa na hilo base hadi vioo vinatikisika akiambiwa anapunguza nusu saa anaweka tena, ni mjeuri na waumini...
  14. winky

    Naomba kazi siitwi hata kwa interview

    Aisee nimerudi kutafuta hii post na kutafuta hii point ili nirekebishe cv yangu labda nitatokea hapo. Be blessed bro.
  15. winky

    Naomba ushauri kuhusu ujenzi wa fensi/uzio wa tofali

    55,000 kubwa 45,000 ndogo
  16. winky

    Watanzania wengi wana uwezo ila hawanunui mashine za kufulia

    Hapana nguo chafu zaidi kama mashati unatakiwa uloweke kwanza kawaida, hata ukifua kawaida unaloweka ndo unafua sawa na machine loweka na sabuni vizuri then uweke.. Zinatakata vyema
  17. winky

    Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

    Usisikitike mwite fundi abomoe akutengenezee system ya kukaa chap tu..
  18. winky

    Naomba ushauri ili nifanye maboresho ya ramani hii

    Nadhani entrance ingekutana na living room sio choo na pia au hiyo public toilet ingekaa eneo la store na pia kama umeamua rooms ziwe juu then sebule ishuke chini ili wageni washuke chini, utahitaji utulivu juu.
  19. winky

    Wapi niweke vya kukaa na wapi niweke vya kuchuchumaa

    Naamini utakuwa ushaweka ila nitajibu kwa experience yangu tangu mtoto hadi saivi, choo cha kukaa its the best asikudanganye mtu sijui vina uti ama nini, ni usafi tu choo kikiwa kisafi na kikavu muda wote hupati ugonjwa wowote. Hata cha kuchuchumaaa kikiwa kichafu kina magonjwa ndo mana uti...
Back
Top Bottom