winky
Senior Member
- May 8, 2013
- 136
- 101
Jana kulikuwa na shoot out kinondoni na wananchi wengi wameumizwa lakinj polisi kimya kama hakujatokea kitu, ulikuwa ni ugomvi kati ya mmiliki aliyenunua eneo anayetaka kubomoa na wananchi.
Kuna video clip ilipostiwa ambayo ilikuwa deleted chaaap inaonyesha maaskari ambao sina uhakika ni police au security officers mana walivaa nyeusi na kofia nyeusi au dark blue wakiwashoot kwa risasi wananchi waliokuwa wanarusha mawe.
Later nilikuwa mwananyamala wakaletwa watu wengi sana wameumia na wanatia huruma wengine hawan msaada.
Lakini naona kimyaa hata police hawajaaddress hii kitu au sababu mmiliki ni mtu mkubwa na pesa?
Hata vyombo vya habari vingi vipo kimya.
Au hili ni jambo la kawaida kwa sasa?