Recent content by Se-qu-el

  1. Se-qu-el

    Wataalamu wa Hesabu hapa shida ni nini?

    BODMAS/MAGAZIJUTO hakuna formula tofauti casio yupo sahihi, hiyo ya tecno alitengeneza hiyo software ya calculator ndiyo kachemka.
  2. Se-qu-el

    Tujihoji: Kwa nini hayati Julius Nyerere alitaka taifa letu liwe na Viongozi kama hayati Mkapa na hayati Magufuli na Sio Lowassa au Jakaya?

    Hii ni sawa na Mchj au Padri ambaye hataki maongozi ya Mungu na maneno yake BIBLIA, anajitungia mambo yake na kuamua kufanya apendavyo.
  3. Se-qu-el

    Kibaraghashia kitambulike kama vazi rasmi Mashuleni

    acha mambo yako ya kidini, vibaghashia shuleni vya nini wewe, yaani badala ya kusema chakula kiwe cha bure shuleni unaleta mambo yako ya balaghashia, KWELI AFYA YA AKILI NI DHAHIRI.
  4. Se-qu-el

    Tuwe makini na nchi yetu mbinu anayotumia Urusi inaweza kutumika hata kwetu pia

    Naunga mkono hoja. Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  5. Se-qu-el

    Kodi ya pay as you earn (PAYE)

    Hapa umejibu vema, kuna double standards sana sasa wengine wanakatwa kodi, wengine hawakatwi hii ni hatari.
  6. Se-qu-el

    Kodi ya pay as you earn (PAYE)

    Rais Samia Suluhu Hassan, alipoingia madarakani kwenye hotuba yake ya kwanza, kwenye maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi(MEI MOSI), aliahidi kwamba atahakikisha mshahara tu ndiyo utakaokatwa KODI, ili kumpunguzia mfanyakazi makali ya maisha, lakini naona hili bado halijafanyiwa kazi, kwani...
  7. Se-qu-el

    SoC03 Akirudi mkoloni atukute na Kitambulisho cha Taifa

    safi sana, hongera hili bandiko lako liende facebook na twitter.
  8. Se-qu-el

    Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

    kweli kabisa, lazima tubadili mindset.
  9. Se-qu-el

    Gari ukiwasha asubuhi kuzima mpaka urudie mara kumi ndiyo liwake

    Nilipata ufumbuzi tatizo lilikuwa ni Pump, nilipobadilisha gari ikawa mpya kabisa. nashukuru kwa shauri mbali mbali.
  10. Se-qu-el

    Tunajifunza nini kwa Kifo cha Mtoto wa Nabii Bushiri Aka Major 1?

    Kufa ni lazima kwa mwanadamu, kila nafsi itaonja mauti, halafu kuwa mtumishi wa Mungu hakukufanyi kwamba usipatwe na majaribu, mimi simtetei lakini asipewe nafasi ya kuchukua utukufu wa Mungu kwa either miujiza n.k, biblia ipo wazi kabisa Yesu aliwaambia wanafunzi wake mtu hataishi kwa mkate...
Back
Top Bottom