Se-qu-el
JF-Expert Member
- Feb 20, 2013
- 236
- 113
Rais Samia Suluhu Hassan, alipoingia madarakani kwenye hotuba yake ya kwanza, kwenye maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi(MEI MOSI), aliahidi kwamba atahakikisha mshahara tu ndiyo utakaokatwa KODI, ili kumpunguzia mfanyakazi makali ya maisha, lakini naona hili bado halijafanyiwa kazi, kwani kukata KODI malipo ya OVERTIME, BONUS na marupurupu mengine ambayo siyo permanent ni kumuongezea mzigo mfanyakazi
Kwa mfano OVERTIME huu ni muda ambao mfanyakazi kaamua kuuza uhuru wake wa kufanya mambo mengine, halafu unakata kodi huu ni uonevu mkubwa sana, unaofanywa na serikali kwa watu wake, TUPAZE SAUTI KWENYE HILI LITEKELEZWE ILI TUPUNGUZE MZIGO KWA WAFANYAKAZI, AMBALO NDILO KUNDI LINALOONGOZA KUONEWA NA SERIKALI.