Picha za Malkia Elizabeth II na mume wake Prince Phillip wakiwa vijana

1617985237903.jpeg
 
Alichofaidi ni kunyunyiza tu. Siku hizi za uzeeni ndio amekaa kimya kabisa. A good but miserable life that he had chosen. How could it be without being myself?

Kazi kweli kweli
Kina wakati niliwahi ona mahojiano yake

Anadai yeye anajiona Kama "amoeba" au bacteria coz wanae hawana jina lake .

Ndio baadae kupitia hayo madai

Wajukuu wote wakapewa jina la mountbatten-windsor
 
Back
Top Bottom