bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,321
- 4,667
War is not a romance but a Hell, utakuwa kiumbe wa ajabu kama utafurahia yanayoendelea Ukraine na nchi yoyote ile yenye vita, sala zangu siku zote ni kuomba amani ya Dunia ili iwe sehemu salama.
Leo pale Ukraine ukiangalia idadi ya watoto very innocent wanaopeteza maisha imefika karibia mia 3 na pointi ndipo unajiuliza kosa la hawa watoto ni lipi, Urusi baada ya kumaliza kupiga mabomu vituo vya kijeshi sasa amehamia kwenye Supermarket, vituo vya reli, vyuo vikuu, shule, hospitali...nk
Hapo nimeonyesha madhara ya vita kwa kifupi twende kwenye Hoja sasa.
Mbinu anazotumia Mrusi zinaweza kutumika hata nchini kwetu tuwe makini na mipaka ya nchi yetu na jukumu la ulinzi wa nchi yetu ni Mimi na wewe.
Mbinu zenyewe ni hizi ukiangalia sasa Mrusi anasema Donbass, Crimea, Kherson, Mariupol, Luhanks kaongeza na Odesa anasema ni maeneo yake kisa yana Warusi wengi.
Kumbe mbinu anayotumia ni kuingiza Warusi wengi kwenye hayo majimbo/mikoa na mwisho wa siku wataanza kuzaana kwa wingi halafu atakuja na pointi kwamba RAIA wake walioko kwenye hayo maeneo wanaonewa na Serikali ya nchi husika ataanza propaganda zake ikiwa ni pamoja na kuwaambia wale RAIA walete fujo wakiguswa tu anasema wanaonewa kumbe lengo lake avamie nchi husika kijeshi na kupora yale maeneo.
Ukiangalia nchi zinazomzunguka ni dhaifu kijeshi basi atatuma makombora yake na kuharibu nchi za watu na mwisho wa siku anateka yale maeneo na kusema ni sehemu yake.
Nimesoma Article moja kuhusu Finland kuanzia sasa wanataka kujenga uzio eneo la mpaka wake na Urusi ili kuzuia ishu kama hizo pia ameanzisha vituo kwa ajli ya kuwahifadhi wageni wote wanaofika nchi kwake ili kuzuia warusi wasichangame/kuzaliana na raia wake anaogopa yasije kumpata ya Ukraine.
Ukiangalia nchi yetu pia imezungukwa na nchi nyingi tu hawashindwi kutumia mbinu hizi na kuanza kuleta chokochoko nchini mwetu.
Tuwe makini tuwe wazalendo tuipende nchi yetu tukumbuke tuna nchi moja tu.