Recent content by abd-rashid nkando

  1. abd-rashid nkando

    Mkurugenzi wa LATRA anapata wapi nguvu ya kupingana na Rais? Serikali inakataza kufunga biashara, yeye anafungia mabasi 35 yasitoe huduma

    Hivi umefatilia maelezo ya LATRA na umeweza kuyaelewa hayo maelezo yao. Je hiyo kampuni ya KILIMANJARO kuna sehemu wanasema kuwa wanavyo tuhumiwa navyo ni propaganda za kibiashara?. Vipi wewe na kampuni ni nani haswa mwenye uchungu wa kufungiwa kwa kampuni? Mwisho kwa maelezo ya LATRA wa...
  2. abd-rashid nkando

    Napagawa na Bati: ALAF, ANDO, DRAGON - uchaguzi mgumu. Watu wa mauzo saundi kibao!

    hakuna kisicho pauka ndugu,ila muda wa kupauka ndo unachotakiwa kuangalia hapo Kuhusu bati bora ni bat ambazo zina gauge 28 na kuendelea kwa kwenda 26 -24-18-16 mpka mwisho Pia ithibati ya material ambazo wanatumia hivyo viwanda katik uzalishaj wao wa mabati, Hap ndo tatizo linapokuja...
  3. abd-rashid nkando

    Waislam tunapaswa kuondokana na upofu wa dini la sivyo tutaonekana wote hatuna akili

    Ewe kijana umejaribu kuelezea jambo kwa hoja ila embu rudi kwanza nyuma hili jambo lilipo anza na mpaka lilipofika umewasikia BAKWATA wakitoa neno lao au kuchangia JE,umemsikia mufti Zuber au Balaza la ulamaa likitia neno Unasema wew ni muislam sikatai,unaweza ukawa n kwel muslim ila wajina n...
  4. abd-rashid nkando

    Baada ya tamko la TEC, tunasubiri tamko la BAKWATA

    Unataka BAKWATA watoe tamko,kwan ANGLICAN wao wametoa tayar,WASABATO JE? na Dini nyenginezo ambazo zipo tz zimetoa matamko. MUFTI YUPO KIMYAA NA WALA HATOTOA TAMKO TEC WAO WAENDELEE KUUSOMA HUO WALAKA MAKANISANI MWAO NA WALA HAWAFANYI UDINI NA PIA HAO MASHEKH NAO WALA HAWAFANYI UDINI ILA...
  5. abd-rashid nkando

    Mpasuko mkubwa kwenye Baraza la Mawaziri kisa kuuzwa kwa Bandari

    We jamaa kuna mahali nimeona unasema sisi wakristo ndo tumesoma kuliko hao wavaa kobazi , ila kila nikicheki naona walio weng kati ya walio pitisha huo tunao usema uuzwaji wa bandari weng ndo wapo huo upande wa wasomi wa hii nchi . Je,wasomi wetu hawajitambui au kuna sehemu kunatatizo ambalo...
  6. abd-rashid nkando

    Msaada wa mawazo juu ya bati za kampuni ya ANDO

    ANDO hao jamaa bidhaa zao n nzur kabisa, naongea kitu ambacho nakijua na nishawah kufanya nao kaz kam mwajiriwa wao Hutojuta kutumia bidhaa zao trust me Kam upo Dar au dom naweza taj eneo ambalo lina bat yao kisha ukaulize wew zina muda gan hap juu
  7. abd-rashid nkando

    Mtu ambaye hajawahi kuimba hata kwaya kanisani anawezaje kuwa msemaji wa Shirikisho la Muziki?

    Kwan msemaji kazi yake ni nini hasa kwenye taasisi?!
  8. abd-rashid nkando

    Simba waziponda Sh milioni tatu za GSM, zilikuwa ndogo sana, wataja lengo la mkataba

    Tatizo watu weng wana shindwa kujua kuwa GSM NA TFF/BODI YA LIGI waliingia mkataba, na huo mkataba una vipengele ambavyo walikubaliana kuvi telekeza na vipo ambavyo vina weza kuvunja mkataba bila hata ya kutokea pande moja kusema. 1.GSM wao wametangaza kujiondoa kweny mkataba baina yao kwa...
  9. abd-rashid nkando

    Nyumba hii itatumia bati ngapi?

    16.175m × 18.4m=297.62 m ² 297.62m² ~298m² 298 * 1.5 (king post) =447m 447m ÷ UPANA wa bati ambay ndo coverage yak, Hap weng hutumia zenye upana wa 90cm ambayo inakuja kuwa 84cm 84cm una change Kuja kwa mita itasomeka 0.84m 447m ÷ 0.84m =532.14 Total runmeter =532.14( +/-)
Back
Top Bottom