Mpasuko mkubwa kwenye Baraza la Mawaziri kisa kuuzwa kwa Bandari

Kuna viashiria si shwari tena Baraza la Mawaziri;

1) Waziri Mkuu kumwakilisha Rais nchini Urusi taifa tajiri kuliko yote duniani kwa maliasili ni dhahiri Makamu wa Rais ananyanyapaliwa. Wakati wa Magufuli Makamu wa Rais ndiye aliyekuwa ana mwakilisha Rais nje ya nchi na wala siyo Waziri Mkuu.

2) Makamu wa Rais na wengi wa Mawaziri Watanganyika wamejizuia kuutetea wizi wa maliasili za nchi yao na kuonyesha kuna mifarakano na sintofahamu ndani ya Baraza la Mawaziri.

3) Agizo la Rais la kumwelekeza Waziri wa uchukuzi aingie mkataba wa kimataifa haukuonyesha ulitokana na vikao vya baraza la mawaziri. Hii ni ushahidi tosha uamuzi wa kuuza nchi haukuwa wa baraza la mawaziri.

4) Hakuna jitihada zozote zile zilizofanywa na serikali kuambatanisha muhtasari wa Baraza la Mawaziri kulithibitishia bunge uamuzi wa kuuza bandari zetu ulitokana na maamuzi ya vikao vya Baraza la Mawaziri kabla ya Rais kumwagiza Waziri wa Uchukuzi kusaini mkataba wa kuuza nchi yetu pendwa.

Tungependa kukumbusha tu hakuna uwajibikaji wa pamoja kwenye maamuzi yasiyo shirikishi.

5) Kwa vile mkataba wa kuuza nchi ulifanywa bila ya kuzingatia mpango wa miaka 5 ya uendelezaji wa bandari zetu hii ni ushahidi tosha msukumo wa kuuza bandari zetu haukutoka kwa Mamlaka ya bandari zetu. Na ndiyo maana Mtendaji Mkuu wa bandari zetu alitupiwa virago vyake kwa sababu alipinga huu wizi wa mali ya umma.

6) Kuna viashiria uamuzi wa kuuza bandari zetu ulikuwa wa kukurupuka kwa sababu ulifanyika baada ya kupokea mkopo wa benki ya dunia wa dola 420 milioni na hata hizo hela hatujajua kama zingetatua matatizo yetu ya ufanisi, uthibiti wa mapato nk, wao wakaamua kumtajirisha mwekezaji.

7) Wanaoupigia upatu huu wizi wa mali ya umma hawamo kwenye Baraza la Mawaziri ila wanaona huu ni mwanya wa kujenga hoja ya kufikiriwa kujaza nafasi ya mawaziri waliopo ambao wanaonekana hawaafiki nchi yao kuuzwa.

8) Ukimwondoa Waziri wa uchukuzi hakuna Mzanzibara hata mmoja ambaye aliandamana na genge la makada wa CCM ambao walikuwa wanapigia upatu wizi wa mali ya umma. Ni dhahiri hata Wazanzibara hawaafiki na hili.

9) Pamoja na Kikwete kujitokeza hadharani na kudai anamuunga mkono Rais lakini hajawahi kuuteteta huu wizi wa mali ya umma.

10) Makamu wa Rais hajawahi hata mara moja kutetea nchi kuuzwa na hii inaashiria mpasuko mkubwa ndani ya Baraza la Mawaziri na tunabashiri wakati wa Uchaguzi wa 2025 jina lake litakatwa na hatarudi kwenye nafasi yake ya Umakamu wa Urais. Tutafafanua zaidi kwenye hili.
Kwa mamlaka niliyopewa nakutunuku PhD ya ramli chonganishi .
 
Hongera sana kwa uwasilishaji unaonyesha una akili timamu. Asante sana.
 
very nice theory politically speaking:p
 
Msaimie Makamo wa Rais.

Vipi siku hizi hutupi updates za yule mzee anaewasaidia wauza unga Watanzania walioshikwa nje ya Tanzania?
 
Rubbish.

Mnashusha hadhi ya jukwaa la siasa, Samia ndio Mwenyekiti wa Ccm na Amiri Jeshi mkuu.

Kama una akili ndogo si lazima kuanzisha thread.
Nikasema labda hii Doctors ya uhakika,

Kumbe tupo Jf kwa Id's feki!

Kwa nini mkuu usingetumia Id ya jina la yule mnyama wa porini asiye na akili?
 
Kwa hiyo kama Samia akiwa mwenyekiti wa CCM, na Amiri Jeshi mkuu, ndio atoe bure bandari zetu watanganyika milele kwa waarabu?

Unakurupuka kama mtoto kujibu, wewe ndie unayeshusha hadhi ya hili jukwaa.

Aanze kumwabudu Mwenyekitebe kama Kabudi alivyokuwa anamwabudu JPM
 
Kwa hiyo kama Samia akiwa mwenyekiti wa CCM, na Amiri Jeshi mkuu, ndio atoe bure bandari zetu watanganyika milele kwa waarabu?

Unakurupuka kama mtoto kujibu, wewe ndie unayeshusha hadhi ya hili jukwaa.
We jamaa kuna mahali nimeona unasema sisi wakristo ndo tumesoma kuliko hao wavaa kobazi ,
ila kila nikicheki naona walio weng kati ya walio pitisha huo tunao usema uuzwaji wa bandari weng ndo wapo huo upande wa wasomi wa hii nchi .
Je,wasomi wetu hawajitambui au kuna sehemu kunatatizo ambalo tunalo toka tuna anza kuingia mikatab ya madin kipind cha awamu ya 3 mpka leo
Ukichek hat hiyo mikatab ya madin hatujui inaisha muda gan toka mkap ametia sain
 
Back
Top Bottom