Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Kilimo cha umwagiliaji na changamoto zake Wote tunajua kwa sasa tunakabiliwa na upungufu mvua na kutotabirika kwa mvua! tumekua tunategemea kilimo cha mvua, na kwa hali ilivyo tukiendelea...
6 Reactions
16 Replies
10K Views
  • Redirect
habari za wakati huu wadau,naomba kujuzwa/kueleweshwa zaid kuhusiana na kilimo cha migomba mwenye kufahamu plz nini changamoto zake,aina ya migomba,maradh nk asanten
0 Reactions
Replies
Views
Habari wa JF. Mimi ni binti ambaye nataka niingie shambani kuanza kilimo. Msaada wenu nauhitaji kujua gharama nzima ya kulima kilimo cha umwagiliaji. Kuanzia ukodishaji shamba hadi vifaa vya...
3 Reactions
6 Replies
7K Views
Habari wadau, poleni kwa majukum. Lengo la Uzi huu ni kupata maoni yenu. Nina shamba la ekari 3 lipo eneo la mitonga -mbanja Lindi. Ardhi yake ni ya mchanga, mazao yanayostawi ni pamoja na...
0 Reactions
2 Replies
906 Views
KAMA WEWE NI MUHITAJI WA KISIMA WAHI OFA ZETU ZA PASAKA AMBAZO BADO NDANI YAKE ZINATOA MAJADILIANO YA BEI. VISIMA HIVI NI VYA KARAVATI,TUNAVIANDAA MPAKA KATIKA HALI UNAYOONA PICHANI HAPO,WEWE...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Redirect
Strawberry (fukasidi) hustawi katika maeneo yenye joto la wastani, na hukua kwa haraka zaidi na uzalishaji kuongezeka linapolimwa kisasa zaidi, Hasa katika Green house. Zao hili hukua vizuri...
2 Reactions
Replies
Views
Bila shaka yoyote ile kilimo ndiyo sekta inayoweza kuajiri watu wengi zaidi hata kukiko viwanda kama serikali ingetilia mkazo somo la kilimo mashuleni hasa katika secondary Nimepita katika shule...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Bandugu, Ni miti gani ya mbao inastawi ukanda wa joto pwani ya bahari ya Hindi, Kuanzia Mkuranga, Rufiji, Kilwa, Lindi mpaka Mtwara. N.B miti isihitaji zaidi ya miaka 10 mpaka kuvunwa kwake. Shukran!
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Sababu 14 kwanini biashara yako inahitaji kuwa na nembo na vingine vya kutafutia masoko. Leo nitatoa sababu chahche kwanini biashara yako inahitaji hivyo vyote ili ifanikiwe kibiashara...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Mashirika haya mawili yaliundwa kwa mujibu wa sheria mnamo tarehe 01/07/1982 kwa nia ya kuongeza ufanisi kwa kuwahamisha wafanyakazi wa kitengo cha utafiti wa iliyokuwa Wizara ya Kilimo na Mifugo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kampuni ya cccltd inawatangazia watanzania wote wenye kutaka kumiliki Makazi yao na kuachana na adha za upangaji , tumewaletea mpango rahisi sana , NUNUA KIWANJA KWETU CASH, Tutakukopesha tofali...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tanzania ni nchi ambayo 80% ya wananchi wake wanategemea kilimo. Katika bajeti ya wizara ya kilimo,mifugo na uvuvi,bajeti ya maendeleo mwaka 2016/2017 ilitengewa Tsh.101,527,497,000/= yaani...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwanza Kabisa Ningependa Kumshukuru Mungu Kwa Kutuweka Salama Hadi Leo Hii. Hapa ninapoishi kuna Vyama Vya msingi vya ushirika ambavyo vinahusika ununuzi au ukusanyaji wa mazao mfano Korosho...
0 Reactions
2 Replies
909 Views
  • Redirect
Naombeni msaada wana jf mm ni kijana npo sumbawanga nataman sana kujikwamua kimaisha so nilitaka nilime tikiti naomben ufafanuzi juu ya kilimo hiki ikiwa ni pamoja na changamoto za kilimo hiki...
0 Reactions
Replies
Views
Naomba msaada kwa anayefahamu sehemu ambayo wanauza mbegu za miti za muda mfupi.inbox au nipigie 0712618000
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mh waziri wa kilimo na ushirika nchini nichukue fursa hii kukupongeza kwa kazi nzur mnayoendelea kuifanya hasa kazi nzuri inayofanywa na Tume ya maendeleo ya ushirika nchini. Baada ya...
0 Reactions
0 Replies
701 Views
Habari zenu ndugu zangu, naomba msaada kama mtu anaufahamu na wafadhili wa mambo ya kilimo, kama naweza kupata wafadhili nahitaji mtaji na hali yangu sio nzuri kiuchumi nataka kulima kilimo cha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuchelewa kwa mvua msimu huu ulinipa changamoto ya kutafuta mashamba katika Irrigation schemes kwani huko huwa hakutegemi mvua, kulima ni mara mbili kwa mwaka na kuvuna ni uhakika. Katika hangaika...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Mambo vp wana jf wenzangu, nahitaji madawa na chanjo kwa ajili ya kuku wa kienyeji, pamoja na chakula cha vifaranga, tafadhali naomba msaada nitapata wapi. Mimi nipo Mwananyamala
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wauzaji wa hamira(yeast) ya kusindikia wine jitokezeni hapa niwaunganishe na wanunuzi mashuhuri.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom