kitumbotala
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 516
- 621
Habari zenu ndugu zangu, naomba msaada kama mtu anaufahamu na wafadhili wa mambo ya kilimo, kama naweza kupata wafadhili nahitaji mtaji na hali yangu sio nzuri kiuchumi nataka kulima kilimo cha umwagiliaji,
Lakini tutakubaliana baada ya mavuno na faida tutatoa na kurudisha mtaji na faida inayobakia tunagawana.
Lakini tutakubaliana baada ya mavuno na faida tutatoa na kurudisha mtaji na faida inayobakia tunagawana.