Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
  • Redirect
Strawberry (fukasidi) hustawi katika maeneo yenye joto la wastani, na hukua kwa haraka zaidi na uzalishaji kuongezeka linapolimwa kisasa zaidi, Hasa katika Green house. Zao hili hukua vizuri...
2 Reactions
Replies
Views
Bila shaka yoyote ile kilimo ndiyo sekta inayoweza kuajiri watu wengi zaidi hata kukiko viwanda kama serikali ingetilia mkazo somo la kilimo mashuleni hasa katika secondary Nimepita katika shule...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Bandugu, Ni miti gani ya mbao inastawi ukanda wa joto pwani ya bahari ya Hindi, Kuanzia Mkuranga, Rufiji, Kilwa, Lindi mpaka Mtwara. N.B miti isihitaji zaidi ya miaka 10 mpaka kuvunwa kwake. Shukran!
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Sababu 14 kwanini biashara yako inahitaji kuwa na nembo na vingine vya kutafutia masoko. Leo nitatoa sababu chahche kwanini biashara yako inahitaji hivyo vyote ili ifanikiwe kibiashara...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Mashirika haya mawili yaliundwa kwa mujibu wa sheria mnamo tarehe 01/07/1982 kwa nia ya kuongeza ufanisi kwa kuwahamisha wafanyakazi wa kitengo cha utafiti wa iliyokuwa Wizara ya Kilimo na Mifugo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kampuni ya cccltd inawatangazia watanzania wote wenye kutaka kumiliki Makazi yao na kuachana na adha za upangaji , tumewaletea mpango rahisi sana , NUNUA KIWANJA KWETU CASH, Tutakukopesha tofali...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tanzania ni nchi ambayo 80% ya wananchi wake wanategemea kilimo. Katika bajeti ya wizara ya kilimo,mifugo na uvuvi,bajeti ya maendeleo mwaka 2016/2017 ilitengewa Tsh.101,527,497,000/= yaani...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwanza Kabisa Ningependa Kumshukuru Mungu Kwa Kutuweka Salama Hadi Leo Hii. Hapa ninapoishi kuna Vyama Vya msingi vya ushirika ambavyo vinahusika ununuzi au ukusanyaji wa mazao mfano Korosho...
0 Reactions
2 Replies
883 Views
  • Redirect
Naombeni msaada wana jf mm ni kijana npo sumbawanga nataman sana kujikwamua kimaisha so nilitaka nilime tikiti naomben ufafanuzi juu ya kilimo hiki ikiwa ni pamoja na changamoto za kilimo hiki...
0 Reactions
Replies
Views
Naomba msaada kwa anayefahamu sehemu ambayo wanauza mbegu za miti za muda mfupi.inbox au nipigie 0712618000
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mh waziri wa kilimo na ushirika nchini nichukue fursa hii kukupongeza kwa kazi nzur mnayoendelea kuifanya hasa kazi nzuri inayofanywa na Tume ya maendeleo ya ushirika nchini. Baada ya...
0 Reactions
0 Replies
676 Views
Habari zenu ndugu zangu, naomba msaada kama mtu anaufahamu na wafadhili wa mambo ya kilimo, kama naweza kupata wafadhili nahitaji mtaji na hali yangu sio nzuri kiuchumi nataka kulima kilimo cha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuchelewa kwa mvua msimu huu ulinipa changamoto ya kutafuta mashamba katika Irrigation schemes kwani huko huwa hakutegemi mvua, kulima ni mara mbili kwa mwaka na kuvuna ni uhakika. Katika hangaika...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Mambo vp wana jf wenzangu, nahitaji madawa na chanjo kwa ajili ya kuku wa kienyeji, pamoja na chakula cha vifaranga, tafadhali naomba msaada nitapata wapi. Mimi nipo Mwananyamala
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wauzaji wa hamira(yeast) ya kusindikia wine jitokezeni hapa niwaunganishe na wanunuzi mashuhuri.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini wapendwa wa kilimo. Kwanza kabisa niwapongeze wote tuliojaribu kuweka mazao mashamba msimu huu wa masika maana naamini tutapata. Kuna Drip System za ekari mbili ila kila moja ya ekari...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Redirect
Kutokana na wadau wengi kutaka kujua hasa gharama za uzalishaji wa mkonge na muda gani unaaza kupata faida ikanilazimu niwaandalie hii bajeti ambayo tunaitumia kwa mkoa wa Tanga ila inaweza...
3 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wakuu nimekuwa nikipata tetesi kuhusu huu mradi na faida zake! Najua kuna watu humu ni wazoefu naomba tushirikishane kwasababu mwezi wa saba nataka niingie shambani! Asanteni
0 Reactions
Replies
Views
Salaam wana JF Naomba kurudia kwa mara ya pili kwa wale ambao wako serious kibiashara. Kwa yeyote anayeuza Green House, ziwe zilizotumika lakini ziko hali nzuri au hata kama ni mpya, tafadhali...
0 Reactions
2 Replies
908 Views
  • Redirect
Wakuu natamani kulima tangawizi ila sina maelezo yoyote kuhusu hili zao tafadhali ka kuna mwenye uzoefu nalo tujumuike hapa kwny huu uzi. Kuanzia upandaji wake, hali ya hewa, gharama zake mpaka...
1 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom