Habarini wapendwa wa kilimo. Kwanza kabisa niwapongeze wote tuliojaribu kuweka mazao mashamba msimu huu wa masika maana naamini tutapata.
Kuna Drip System za ekari mbili ila kila moja ya ekari...
Kutokana na wadau wengi kutaka kujua hasa gharama za uzalishaji wa mkonge na muda gani unaaza kupata faida ikanilazimu niwaandalie hii bajeti ambayo tunaitumia kwa mkoa wa Tanga ila inaweza...
Wakuu nimekuwa nikipata tetesi kuhusu huu mradi na faida zake! Najua kuna watu humu ni wazoefu naomba tushirikishane kwasababu mwezi wa saba nataka niingie shambani!
Asanteni
Salaam wana JF
Naomba kurudia kwa mara ya pili kwa wale ambao wako serious kibiashara. Kwa yeyote anayeuza Green House, ziwe zilizotumika lakini ziko hali nzuri au hata kama ni mpya, tafadhali...
Wakuu natamani kulima tangawizi ila sina maelezo yoyote kuhusu hili zao tafadhali ka kuna mwenye uzoefu nalo tujumuike hapa kwny huu uzi.
Kuanzia upandaji wake, hali ya hewa, gharama zake mpaka...
wakuu habari zenu poleni kwa majukumu mimi nmeanzisha mradi wa kuku na mradi wangu nimezamilia kufuga kuku aina ya kuchi jogoo nishapata ila sasa hivi natafuta matetea ya kawaida ya kienyeji
SIFA...
Habari wadau wa ujasiliamali. Mimi nina eneo hapa dsm ( Bunju ) lilikuwa shamba, sasa mzee kalipa katika30*30, shida yangu natafuta mtu ambaye atakayeingia mkataba kati yetu na sisi ajenge nyumba...
Hii ni picha ya Parents (majogoo) kuchi na Giliraja nitafute +255785738738 kuna customer wanahitaji picha, zinakuja na kama wataka kuona karibu kwa farm. Mbezi Manyema off Salasala way.
Wakuu habari za leo,bila shaka wazima na mnaendelea namihangaiko yenu ya kila leo. Naomba msaada wa kujua ni zao gani nilime kipindi hiki huko ili na mimi nijitose mzima mzima kwa mara ya...
Mojawapo ya Changamoto kubwa kwa wafugaji wa nguruwe imekuwa ukosefu wa mbegu bora na yenye tija hapa nchini. Mbegu nzuri zilizoletwa na wakoloni miaka ile zimepoteza ubora wake kwa sababu ya...
Habari wandugu zangu naomba kujua namna ya kuanza ufugaji wa kuju wa mayai........aina gani ya kuku ni bora zaidi? ........kwa kuku 500 ninahitaji banda la ukubwa gani? Chakula kiasi gani...
Habari wanajamvi?
Leo nimepata maswali mengi baada ya kuona kanda ya ziwa mazao yanakauka kwa ukame mkubwa ulioikumba nchi. Hivi Kuna maana gani kujenga viwanda kwa kilimo cha kutegemea mvua...
Jamani wana JF ni kweli kuna aina ya sungura ambayo ina soko sana au ni sungura wa aina yoyote naweza kufuga na nikauza Kama kawaida?
Nataka kuanza kufuga sungura nisije nikachukua mbegu ambayo...
Wakuu habari za jioni,
Naomba kama mzoefu wa kilimo hiki anisaidie, nataka kuwa na quotation za gharama za kulima tikiti maji kwa ekari moja katika mazingira yafuatayo.
Maji ni ya kisima cha...
Heshima kwenu wadau.
Wadau ninataka kuanzisha kilimo cha Maembe, nilienda Amagro nikaongea nao juu ya ununuzi wa miche na kilimo chenyewe kwa ujumla, lakini bahati mbaya hawana wakala Njombe wa...
Habari wandugu, ashukuliwe Mungu kuwa tuwazima na anatupigania kwenye changamoto za maisha.
Kwa hali ya kiuchumi ilivyo kwa sasa inatubidi kutafuta miradi tofauti tofauti ili...
habari wakuu, kama topik isemavyo hapo juu....siku za karibuni kumeibuka watu mbali mbali kwenye mitandao ya kijamii wakinadi aina mbali mbali za kuku wa kienyeji/chotara kwa biashara ya mayai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.