Kwa namna hii hari ji mbaya mno kwenye sekita ya kilimo

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,917
17554258_1314104041971133_4914724975880712902_n.jpg

Tanzania ni nchi ambayo 80% ya wananchi wake wanategemea kilimo.
Katika bajeti ya wizara ya kilimo,mifugo na uvuvi,bajeti ya maendeleo mwaka 2016/2017 ilitengewa Tsh.101,527,497,000/= yaani billion 101.5 Ambapo billion 23 ni fedha za ndani na billion 78.5 ni fedha za Nje(wahisani)
Mpaka sasa fedha zilizotoka kwenda Kwenye miradi ya maendeleo ni Tsh.2,251,881,250/= yaani billion 2.25 ,Hii ni Sawa na 2.22% yaani fedha za maendeleo zilizotolewa na serekali hii kwenye bajeti ya maendeleo ya kilimo,mifugo na uvuvi ni asilimia mbili tu(2.22%)
Wewe Kama Mwananchi ungependa Mimi Kama Mbunge niishauri nini serekali yetu.
Maana kazi ya Mbunge ni kuishauri na kuisimamia serekali.
Mwl Marwa Ryoba Chacha Mb Serengeti
 
Hayo mambo tushayazoea serikali kupanga mambo isiyoyatekeleza na nyinyi wabunge mmeshindwa kuisimamia serikali itekeleze ahadi zake ndo maana tunalia njaa wakati tuna mito na maziwa ya kutosha kufanya umwagiliaji
 
Ishauri serikali ipunguze posho na mishahara yenu ili hizo pesa ziende kwenye mawndeleo.
 
View attachment 488304
Tanzania ni nchi ambayo 80% ya wananchi wake wanategemea kilimo.
Katika bajeti ya wizara ya kilimo,mifugo na uvuvi,bajeti ya maendeleo mwaka 2016/2017 ilitengewa Tsh.101,527,497,000/= yaani billion 101.5 Ambapo billion 23 ni fedha za ndani na billion 78.5 ni fedha za Nje(wahisani)
Mpaka sasa fedha zilizotoka kwenda Kwenye miradi ya maendeleo ni Tsh.2,251,881,250/= yaani billion 2.25 ,Hii ni Sawa na 2.22% yaani fedha za maendeleo zilizotolewa na serekali hii kwenye bajeti ya maendeleo ya kilimo,mifugo na uvuvi ni asilimia mbili tu(2.22%)
Wewe Kama Mwananchi ungependa Mimi Kama Mbunge niishauri nini serekali yetu.
Maana kazi ya Mbunge ni kuishauri na kuisimamia serekali.
Mwl Marwa Ryoba Chacha Mb Serengeti
Kama hawakupeleka hizo hela mlizopitisha budget yake ina maana serikali haina uwezo wa kuendesha mambo ya nchi hii.

Waziri mkuu akae pembeni.

Yaani 2.22%? Ndogo kuliko percentage ya mrahaba!!!!'!!

Hii ni dharau kwa wananchi.
 
View attachment 488304
Tanzania ni nchi ambayo 80% ya wananchi wake wanategemea kilimo.
Katika bajeti ya wizara ya kilimo,mifugo na uvuvi,bajeti ya maendeleo mwaka 2016/2017 ilitengewa Tsh.101,527,497,000/= yaani billion 101.5 Ambapo billion 23 ni fedha za ndani na billion 78.5 ni fedha za Nje(wahisani)
Mpaka sasa fedha zilizotoka kwenda Kwenye miradi ya maendeleo ni Tsh.2,251,881,250/= yaani billion 2.25 ,Hii ni Sawa na 2.22% yaani fedha za maendeleo zilizotolewa na serekali hii kwenye bajeti ya maendeleo ya kilimo,mifugo na uvuvi ni asilimia mbili tu(2.22%)
Wewe Kama Mwananchi ungependa Mimi Kama Mbunge niishauri nini serekali yetu.
Maana kazi ya Mbunge ni kuishauri na kuisimamia serekali.
Mwl Marwa Ryoba Chacha Mb Serengeti
Mkuu lazima tukubaliane na ukweli kwamba national policy ni irrelevant kwa nchi kama yetu!! Huwezi wekeza kwenye viwanda wakati asilimia kubwa ya watz ni wakulima!! Huwezi kuwa na viwanda wakati bado hamna mazingira sahihi ya ukuaji wa viwanda!!

Kwa ushauri wangu...tungewekeza kwenye kilimo maana watz wengi hasa wa chini ni wakulima! Huwezi toa kapesa hako alafu utarajie maendeleo kwenye kilimo achilia mbali viwanda!!
 
uchukue hela kwa watu 20 ukawagawie watu 80 ili walime wawauzie watu 20, ndio maana kilimo kinakufa.....

kilimo kwa sasa kilitakiwa kiwe na chini ya 40% ya raia ili kiwe na tija.
 
Back
Top Bottom