Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Nyumba inauzwa Dodoma Mjini ina vyoo vi2 vya public master tatu sebule moja jiko moja na fremu za maduka nne, bei milioni 300, ipo barabara kuu ya singida maongezi yapo kidogo hati ipo haina dalali
1 Reactions
11 Replies
669 Views
Nyumba ipo kigamboni Mwembe mtengu inauzwa na mwenye nyumba. Master 2 Living room 2 Kitchen 1 Public toilet 1 Dinning 1 Seating 1 Ukubwa eneo 400sqm(20*20) Bei 38Mil MTEJA ANARUHUSIWA KULIPA...
1 Reactions
7 Replies
611 Views
Nyumba ipo morogoro kihonda Km 1 na nusu kutoka dodoma road. Nauli kutoka morogoro mjini 500 Ina vyumba vitano,kimoja master. Ukubwa kiwanja mita 25 kwa 20. Milioni 35. Mazungumzo yapo
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Eneo kubwa na zuri linauzwa pamoja na nyumba yake. Lina ukubwa wa MITA 70 kwa 21. Ndani ya eneo kuna nyumba yenye vyumba vinne,viwili ni master na vingine ni vya kawaida,sebule kubwa pia na...
3 Reactions
3 Replies
485 Views
Habari JamiiForums members. Nyumba inauzwa na benki kwa njia ya mnada. -- Nyumba ipo Mbezi, Msingwa --Nyumba ina kiwanja chenye ukubwa wa 520sq/m-- Nyumba ina vyumba vitatu, kimoja master...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
  • Redirect
Pagale linauzwa Kigamboni Cheka Ina vyumba vitatu kimoja ni master, sebule, dining, public toilet. Ukubwa 30 kwa 20 Ipo mita 300 kutoka barabara ya lami Bei:- million 25 maongezi yapo ushindwe...
0 Reactions
Replies
Views
Ipo Kibada KISARAWE ll kigamboni Ina vyumba vitano vitatu masters Sitting room dining room jiko stoo Na public toilet bei milioni 200 Mzungumzo pia yapo ukubwa wa kiwanja SQM 883 ina hati miliki...
2 Reactions
4 Replies
404 Views
  • Redirect
NYUMBA INAUZWA 2.5KM TOKA TOWN TU (TAZAMA MUONEKANO WA NJE NA WA NDANI KATIKA VIDEO) NYUMA YA SHULE YA EAST AFRICA VIDEO IKIKUONYESHA TOKA TOWN MPAKA KWENYE NYUMBA...
0 Reactions
Replies
Views
inavutia, Bora na ya Kisasa. Nyumba ina mwonekano wa kuvutia wa ndani na nje ikuwa na vyumba vinne vya kulala vyote vinavyochojitoshereza (masters), sebure kubwa, jiko la kisasa na mahali pa kula...
0 Reactions
1 Replies
556 Views
Nyumba ya ghorofa moja Inauzwa milioni 300 maongezi yapo Ipo bunju B - Dar es salaam Vyumba Vinne vya Kulala vyote ni self contained ▫Sitting room zipo mbili chini na juu ▫Dining room ◇...
0 Reactions
4 Replies
664 Views
Nyumba inauzwa Kibaha kwa Mfipa(upande wa chuo) Vyumba vitatu(master zipo 2) Seble na jiko+choo cha public ndani Eneo ni 23×33 Umeme upo, maji yapo Km 2 toka moro road Ndo inafanyiwa finishing Ipo...
0 Reactions
3 Replies
428 Views
NYUMBA HAIJAISHA INAUZWA Eneo ukubwa : 448 SQM Jiko Two bedroom ( one master) Dinning Open kitchen Public toilet Location: Madale mbopo Bei : 20,000,000 Negotiable 1.5km from madale road (...
0 Reactions
4 Replies
782 Views
Habari, kama kichwa cha habari kinavyojieleza... •Nyumba ipo Muriet Mashariki, mita 200 kutoka barabara ya East Africa • Nyumba ina vyumba kumi, (single room) na ukubwa wa eneo ya nyumba ni...
0 Reactions
4 Replies
578 Views
  • Redirect
Nyumba ipo kisosora Tanga Mjini *Rooms nne (kimoja master) *Sebule *jiko *Public toilet *Umeme *Maji Nyumba ipo maeneo ya karibu na ilipo ikulu ya tanga Bei milioni 53 mazungumzo yapo Call /...
4 Reactions
Replies
Views
Nyumba ipo Tanga Mjini Mitaa ya kisosora *Room 4 (Kimoja master) *Sebule *Jiko *Public Toilet *Umeme✅ *Maji✅ Bei 65 milioni mazungumzo yapo...Kwa mteja Serious piga simu 0683703076 au whatsapp...
0 Reactions
87 Replies
4K Views
  • Redirect
Nyumba ipo kisosora jirani na zahanati ya kisosora *Rooms 4 (kimoja master) *Jiko *Sebule *public toilet *umeme *maji Bei milioni 53 (mazungumzo yapo) call / whatsapp 0763316426
0 Reactions
Replies
Views
Nyumba ipo mtaa wa kangaye kata ya nyakatNYUMBA INAUZWA IPO MTAA WA KANGAYE-NYAKATO-MWANZAo-mwanza ipo karibu na shule ya secondary KANGAYE, ina vyumba 3 na sebule, Ndani Kuna lipu na Bomba za...
0 Reactions
0 Replies
269 Views
Ninauza nyumba ipo Mwanza maduka 9, maji na umeme vipo, nyumba ipo jirani na barabara kuu ya maduka 9 kiloleli. Bei naanzia 16 Milioni, maongezi kidogo yapo. Simu 0717072172.
2 Reactions
4 Replies
721 Views
Nyumba inauzwa Magomeni Makuti A, Mtaa wa msikiti Mdogo Documents: Mirathi Skwata Meter 120 main road, tandale road. Bei 125milioni (mazungumzo yapo) Nipigie +255712347749 +255765755455
0 Reactions
2 Replies
598 Views
  • Redirect
Nyumba ina vyumba vinne viwili master, jiko,sitting room na dinning room, ina public toilet, ina SQM 700. MBELE KUNA CHUMBA MASTER NA SITTING ROOM IPO KWENYE USAWA WA LINTA.UNA BANDA LA VIDEO LA...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom