khalifa awe
Senior Member
- Sep 21, 2016
- 147
- 31
Mawasiliano yangu 0683670160Nyumba inauzwa Dodoma Mjini ina vyoo vi2 vya public master tatu sebule moja jiko moja na fremu za maduka nne, bei milioni 300, ipo barabara kuu ya singida maongezi yapo kidogo hati ipo haina dalaliView attachment 2854040View attachment 2854041View attachment 2854043View attachment 2854045View attachment 2854046
NALA centerBarabara ya Singida kwa wapi??Four Ways,Mbwanga,Nala au wapi??andika Tangazo lieleweke acha uzwazwa
Nala Centre ndio wapi??pale penye Nala Park(wanapaita Nala ya Kwanza)au ndio wapi??NALA center
😄😄😄Mil 300 za Zimbabwe au? au basi
yaani unataka kutuuzia nyumba nala kwa milioni 300, upo serious?NALA center