Jukwaa la Historia

Most of the main players in the Nazi regime, probably including Hitler, escaped. He and his lady Eva Braun did not die in the bunker,as history urges us to believe. At least some of them went to...
0 Reactions
3 Replies
167 Views
Hii ni picha juu ni ya jamaa yetu (mwafrika) mwanaume anayenyongwa kwa kutumia kifaa cha kunyongea kiitwacho garrote. Picha chini ni garrote inavyoonekana kwa karibu sana, usigukilie kifaa...
18 Reactions
72 Replies
3K Views
HISTORIA YA QUR'AN. SEHEMU YA KWANZA 01. Asalaam Alaykum Warahmatullah Wabaarakatuh, Kila Sifa njema anastahiri Mwenyezi Mungu Mola mlezi wa Walimwengu wote, na Sifa njema zimuendee Kipenzi...
19 Reactions
297 Replies
5K Views
KAULIZA MUULIZAJI: ‘’KWA NINI MAJINA YA WAASISI WA TANU 1954 YAPO KATIKA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA LAKINI WAASISI WA AFRICAN ASSOCIATION 1929 HAYAONEKANI POPOTE?’’ Kijana alichonitafutia ni...
3 Reactions
6 Replies
402 Views
1. Reli ya Kwanza Tanzania Bara - Tanga 1893. 2. Shule ya kwanza ya Sekondari- Tanga 1890 (Tanga Old School). 3. Shule ya Kwanza (Anglikana) Tanzania 1848 - Tanga Magila Muheza. 4. Taasisi ya...
4 Reactions
7 Replies
479 Views
Nilikuwa Mwanza na nilitembelea wilaya za Magu na Sengerema. Huko nilikutana na ngoma za kina Ng'wana Ituli,wanacheza MBINA. Hii ni ngoma inayochezwa kipindi cha kiangazi baada ya mavuno...
16 Reactions
356 Replies
177K Views
Huyu Bwana yuko zake Kimara Bucha kwenye kasri au tuite hekalu lake mithili ya ikulu ndogo ya Singida, anakula bata huku akilea wajukuu, ameshazeeka sasa. Yeye na kizazi chake walipigwa ban...
77 Reactions
265 Replies
30K Views
Hixo clip zake zote 26 za Mzee Amani Thani 👇 Marhem Bw. Amani Thani akihojiwa na Prof Ibrahim Noor katika mwaka 2000 Part 1 Mwaka wa Mwanzo Jela https://youtu.be/3GZE7Olxf5M Part 2 Kufungwa...
1 Reactions
1 Replies
249 Views
Mshikamano wa kijamii unapobomoka, kabila linakuwa halina tena uwezo wa kujihami, mbali ya kuweza kutanguliza madai yoyote. Lifikapo hapo litamezwa na mataifa mingine. —Ibn Khaldun Mahojiano...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Ignoring warnings from the government and his family. --- Of all the legendary wins in Muhammad Ali’s life, few are as little known as the one he pulled off exactly 25 years ago today: Defying the...
1 Reactions
4 Replies
246 Views
Anayejua historia ya baba yake Hayati Mwinyi atuambie Mara nyingi tunaambiwa mengi kuhusu Mwinyi lakini hatujui mengi kuhusu baba yake Na je ni nani aliyemuibua winyi kwenye siasa?
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimekuwa naangalia jengo la iliyokuwa Embassy Hotel kwa muda mrefu sana sasa imefungwa na hakuna hata dalili yoyote ya kufufuliwa au kutumika kwa shughuli nyingine ya kibiashara. Jengo lipo...
0 Reactions
340 Replies
47K Views
17 Mar 2011 21. The Tuskegee Experiment Study of Epidemics in Western Society Since 1600 The Tuskegee Syphilis Study, carried out in Macon, Alabama, from 1932 to 1972, is a notorious episode...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kabla hawajafika Wamasai katika nchi yetu, walikuwa wakikaa upande wa Afrika ya Mashariki unaoitwa sasa Kenya kwa miaka mingi, wakahama taratibu wakiingia nchi hii kutafuta malisho kwa wanyama...
3 Reactions
6 Replies
396 Views
HISTORIA YA UONGOZI YA ALI HASSAN MWINYI KAMA RAIS HAIKO WAZI UTANGULIZI Makala hii nimeiandika baada ya kuulizwa maswali baada ya kufanya kipindi cha Maisha ya Rais Ali Hassan Mwinyi na Afrika...
12 Reactions
83 Replies
4K Views
DARSA LA TAFSIR YA QUR'AN LA SHEIKH ABDALLAH IDDI CHAREMBO MWEZI WA RAMADHANI MSIKITI WA MTORO MIAKA YA 1970 Hukaa nikaangalia nyuma na ''nostalgia'' yaani simanzi. Naangalia ujana wangu...
6 Reactions
15 Replies
515 Views
habari wadau. naonaga lawama nyingi za waislamu wakimlaumu Rais wa awamu ya kwanza Nyerere aliwabania kuwapa madaraka na fursa nzuri serikalini baada ya uhuru. Mzee wetu kipenzi Mohamed Said...
8 Reactions
36 Replies
2K Views
KUMBUKUMBU YA RAMADHANI 8 : MFUNGO MOMBASA NA SHARIFF SALIM ABDALLAH (SAL DAVIS) NA SHARIFF MUHDHAR KHITAMI 2009 Ndugu zangu hawa masharifu wawili wote wanatoka katika koo kubwa na maarufu mjini...
2 Reactions
0 Replies
167 Views
Jaman naomba Msaada kwa anaejua vizuri chimbuko la haya mataifa vizazi na vizazi pia yupi mwenyehaki pale.
0 Reactions
5 Replies
308 Views
KUMBUKUMBU YA MFUNGO WA RAMADHANI 3: FUTARI YA ALLY SYKES NA NA SINIA LA KUNDE ZA BIBI TITI Binti yangu kaanda meza katuwekea futari. Tumetoka msikitini tukakaa mezani tunafuturu. Kipindi...
2 Reactions
31 Replies
672 Views
Back
Top Bottom