Anayejua historia ya baba yake Hayati Mwinyi atuambie

Mi sifuatiliagi wasifu wa viongozi ila nilikua tu kwenye dalalada nikaskia kwenye redio sijui alikuaga tajiri mashamba ya mkuranga akawauziaga wajerumani wajenge air strip kipindi Cha world war huko!
Mara sijui alitaka mwanae awe shehe sijui ustadh kabla hawajamalizia nikashuka kituoni kwangu!!

Ni hayo tu mkuu
 
Ahsante sana mkuu
 
Mtaka nyingi nasaba hupata mwingi msiba!.
Niliwahi kuuliza humu kuhusu Baba Mzazi wa Mwalimu Nyerere, Chief Burito alioa wake 22. Je, alikuwa na Watoto Wangapi? kuliibuka mavitu huko!.
Mwacheni Baba wa watu apimzike kwa amani.
P
Ni kweli . Nimejaribu kupitia huu uzi wako wa Octoba 2016, nimeona Kuna maoni mengi sana. Historia ya Burrito ktk uzi huo haijaweza kuwekwa sawa sawa.

Swali kwako ndugu Pascal Mayalla. Wewe kama mwandishi mbobevu wa habari za kiuchunguzi, bado tu hujafanikiwa kuipata historia ya Burrito hadi leo? Kama umeipata, tunaomba utuwekekee hapa jamvini
 
Hivi mzee Mohamed Said hajaandika chochote bado kwa Mwinyi?
Mkaza...
Nimeandika:

NINAVYOMKUMBUKA RAIS ALI HASSAN MWINYI (1925 - 2024)

Toleo hili la March 1993 linalomwonyesha Rais Mwinyi yuko kwenye meli inayopigwa mabomu ilikuwa ni ''lead story'' yangu katika jarida la Africa Events likichapwa London.

Sababu ya mimi kuandika makala hayo ni Ahmed Saleh Yahya wakati huo akiwa mhariri wa Africa Events alikuja Dar es Salaam na tukawa na mazungumzo kuhusu matatizo aliyokuwa anapata Rais Mwinyi kutoka vyombo vya habari vya Tanzania.

Ahmed Saleh akishangaa inawezekanaje Rais Mwinyi akashambuliwa hata na magazeti ya chama chake yeye akiwa Mwenyekiti na na kushambuliwa na gazeti la serikali yeye akiwa ndiye Rais wa nchi?

Rais Mwinyi akishambuliwa sana na magazeti.

Sidhani kama atapata kutokea rais aliyetaabishwa na magazeti kumshinda yeye.

Ahmed Yahya akaja Dar es Salaam kutoka London akaniuliza hii iinawezekana vipi?

Mimi nikamueleza kwa nini inakuwa hivyo.

Siasa za Tanzani ni za aina yake kwa watu fulani na kwa viongozi makhsusi.

Hapo tuko katika hoteli moja maarufu inaitwa Chef Pride iko Chagga Street na ndiyo ilikuwa kijiwe changu nikija Dar es Salaam kutoka Tanga nilipokuwa nafanya kazi.

Basi niko hapo na Sheikh Ahmed tunashusha chai kababu na sambusa tunazungumza siasa za Tanzania na ukatili wa wahariri dhidi ya Rais Mwinyi.

Ahmed Yahya aliponipigia simu kuniambia kuwa yuko mjini na ananiomba tunywe chai pamoja nikajua lipo jambo.

Waamerika wana msemo, ''There is no free lunch in America.''

Ukiona mtu kakualika anakununulia chakula jua utalipa kwa njia nyingine.

Nasema haya kunogesha barza.

Nimekula sana biriani za marehemu Ahmed Yahya London bure na hakunituma kazi.

Sheikh Ahmed akaniomba niandike makala moja kama njia ya kumsaidia mzee wetu.

Ndiyo nikaandika hiyo makala na wakati huo Africa Events walikuwa wameacha kuchapa makala zangu kwa muda mrefu.

Makala hii walichapa kama makala ya ''Special Correspondent.''

Hiki ni kisa kingine Insha Allah iko siku ikipatikana fursa nitakieleza.

Kilichonifurahisha mimi katika toleo hili ni hiyo, ''caricuture'' yaani kibonzo cha Rais Mwinyi yuko juu ya chombo kinataka kuzama baada ya kupigwa bomu na kushika moto.
 
1709496484421.png
 
Tuandikie usije ondoka na hizo rejea tukakosa kuzipata.
 
Twin...
Nimejitahidi kuandika kila kitu ninachokijua katika historia ya Tanzania na vyote nimevihifadhi.

Hata nitakapokuwa sipo hizi rejea In Shaa Allah zitakuwapo.
Mzee wangu nakuheshimu sana, na nimekuwa mwanafunzi wako mazuri sana tangu nijiunge hapa jf, yapo ambayo tumekubaliana kimtizamo yapo ambayo tumetofautiana, all in all nakushukuru sana, una maarifa mengi sana kichwani mwako kuhusu historia ya taifa letu, nikuombe uyaweke kwenye maandishi kwaajili ya vizazi vijavyo
 
Kibol,
Nimeandika yote niyajuayo katika historia ya uhuru wa Tanganyika.
Naamini umesoma kitabu cha Abdul Sykes.
 
Back
Top Bottom