Jukwaa la Historia

Leo katika historia April 7: Undani wa hayati abeid amani karume kuzaliwa mpaka kifo Bwana Abeid Amani Karume muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar alizaliwa katika kitongoji cha Pongwe, Mudiria ya...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
MWANANGU MWANASITI KIJINO KAMA CHIKICHI... Laiti kama kuta zingekuwa na masikio. Picha hiyo ya kwanza hapo ni Muthaiga Country Club, Nairobi mwaka wa 1989 niko na Ally Sykes (1926 - 2013)...
13 Reactions
7 Replies
657 Views
HAPO ZAMANI ZA KALE ''Hadithi, hadithi.'' Msimuliaji atanadi kama vile anauza kitu. Wasikilizaji wataitika ''Hadithi njoo, utamu kolea.'' Msimuliaji atajibu, '' Hapo zamani za kale...'' Simulizi...
1 Reactions
3 Replies
236 Views
Wale wanaotaka Palestina irejeshwe, nawajuza kuwa Palestina haijawahi kuwapo kwenye sura ya dunia. 1. Kabla ya Israel kuwekwa pale mwaka 1948 kulikuwa na utawala wa kikoloni wa Uingereza (British...
4 Reactions
15 Replies
615 Views
  • Redirect
Yaani maeneo Yote ya Geita na yale yenye dhahabu walikuwa wavuke tu kutoka uganda na kuja kuchukua kilaini kabisa ....wayaudi tungewafanya nini sisi ikiwa Mwarabu na ubabe wake Amemshindwa? Mwenye...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Hello jamii forum M niko na swali hili Ivi ni ipi namna sahihi ya uzikaji aliyoichagua Mungu ? -kuchoma? -kufukuia kwenye shimo? -kutupa majini?
1 Reactions
Replies
Views
KALAMU YANGU, RAIS ALI HASSAN MWINYI NA KITABU: ''MZEE RUKHSA: SAFARI YA MAISHA YANGU'' Makala hii fupi niliandika May 2021 baada ya kutoka kitabu cha maisha ya Rais Ali Hassan Mwinyi. ''Leo...
1 Reactions
6 Replies
677 Views
KUMBUKUMBU ZA RAMADHANI: FUTARI NYUMBANI KWA MAYOR KITWANA SELEMANI KONDO OYSTER BAY NA UPANGA Katika makala fikra zangu zinarudi nyuma miaka mingi sana Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kama huu...
5 Reactions
19 Replies
583 Views
Historia ya kazi na shughuli za ulinzi na usalama hapa Tanzania zilianza tangu zama za mababu zetu. Jamii nyingi zilizoishi katika maeneo mbalimbali hapa nchini zilikuwa na ulinzi wa jadi...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa kifupi wakati mimi niko shule ya msingi katika miaka ya arobaini, Tanganyika ilikuwa imegawanywa katika majimbo (provinces) 8, ambayo ni: Lake, Northern, Tanga, Eastern, Southern, Central...
12 Reactions
90 Replies
21K Views
Kwa mujibu wa Kamusi ya Karne ya 21 iliyoandikwa na kuchapishwa na LONGHORN, Maana ya Maandamano ni "msururu wa watu wanaotembea kuelekea mahali Fulani kwa lengo maalum." Kwa umri wangu huu...
0 Reactions
7 Replies
285 Views
…Valéry Giscard d’Estaing alikuwa ni Rais wa Ufaransa kuanzia mwaka 1974 hadi 1981. Jean-Bedel Bokassa alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) mwaka 1966 hadi 1979. Ndani ya miaka...
7 Reactions
6 Replies
785 Views
Kitabu hiki kilichapwa mara ya kwanza mwaka 1930. HABARI ZA NCHI ZILIZO MAGHARIBI Somo 1-Wahima KATIKA sura ya kwanza tulisoma ya kuwa sisi Wabantu si watu wa asili wa nchi tunazokaa sasa maana...
3 Reactions
4 Replies
470 Views
Unajua Sewahaji alikuwa ni nani? Sewa Haji Paroo ndio hasa alianzisha hospitali ya Muhimbili, Ingawa baadhi ya walioathiriwa na elimu ya kikoloni kwa kiwango kikubwa hushikilia kwamba Muhimbili...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
NYONGEZA: Huyu ndiye Earle Edward Seaton kama anavyoelezwa na Abdul Sykes: "Uingereza ilikuwa ikitawala Tanganyika chini ya kifungu 76 na 77 cha Mkataba wa Umoja wa Mataifa. Kama mamlaka tawala...
1 Reactions
0 Replies
133 Views
Mzee Mshume Kiyate akimvisha Mwalimu Nyerere kitambi kumfariji baada ya maasi ya 1964 Aliyemshika Nyerere mkono kulia ni Mshume Kiyate, Max Mbwana na Mwinjuma Mwinyikambi Uchaguzi wa Rais 1962...
1 Reactions
14 Replies
585 Views
MAKALA: MZEE MILLINGA MUASISI WA TANU TUTAMKUMBUKA DAIMA Mzee Constantine Oswald Millinga mmoja wa waasisi wa TANU akiwa na rais Jakaya Kikwete Na Kassian Nyandindi, SIKU zote binadamu...
4 Reactions
49 Replies
2K Views
Most of the main players in the Nazi regime, probably including Hitler, escaped. He and his lady Eva Braun did not die in the bunker,as history urges us to believe. At least some of them went to...
0 Reactions
3 Replies
134 Views
Hii ni picha juu ni ya jamaa yetu (mwafrika) mwanaume anayenyongwa kwa kutumia kifaa cha kunyongea kiitwacho garrote. Picha chini ni garrote inavyoonekana kwa karibu sana, usigukilie kifaa...
18 Reactions
72 Replies
3K Views
HISTORIA YA QUR'AN. SEHEMU YA KWANZA 01. Asalaam Alaykum Warahmatullah Wabaarakatuh, Kila Sifa njema anastahiri Mwenyezi Mungu Mola mlezi wa Walimwengu wote, na Sifa njema zimuendee Kipenzi...
19 Reactions
297 Replies
5K Views
Back
Top Bottom