Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Jana Leo na Kesho, mstari mrefu wa mafanikio kwa mtanzania /muafrika mweusi. “I write nikiwa inspired” niliandika kwenye makala yangu ya kwanza. Kuna swali ime ni inspire, imenisikitisha...
14 Reactions
20 Replies
6K Views
ASTRAL PROJECTION/Mental Projection. Ni ule uwezo wa mtu kutengana na mwili wake kwa fikra katika imani Husemwa Kiroho. Pale ambapo roho yako inakuwa imetengana na mwili wako wa nyama. Utokaji...
105 Reactions
2K Replies
436K Views
Nilitazama kipindi cha TOP GEAR naona mwisho wanadai kuipata the 'true source ya mto Nile' kuwa iko Tanzania kuna anaejua more kuhusu hili? Top Gear (series 19) - Wikipedia, the free encyclopedia
4 Reactions
204 Replies
34K Views
Karibia kila baada ya miaka minne mwezi wa februari hupata siku ya nyongeza, yaani siku ya 29 ambayo huweza kuitwa ''leap day''. Kama sehemu ya gregorian claendar. Hii ndio sababu... Gregorian...
7 Reactions
13 Replies
823 Views
Habari wana JF. Naomba kuanza kwa kuzungumza machache sana ili tuelewane kutokana na mada hii. Kumekuwa na mada mbalimbali zinazozungumzia maswala ya uzalendo, usalama wa taifa,maafisa usalama wa...
4 Reactions
41 Replies
1K Views
Hakuna kifaa kinachoweza kupima unyama wa Binadamu isipokuwa tuu kwa kuwalinganisha matendo yao wenyewe kwa wenyewe. NOTE: Nitayaelezea machache tuu kuhusu haya makundi ya Uhalifu ingawa kuna...
33 Reactions
74 Replies
12K Views
Fluoride katika maji kwa ajili ya kudhibiti akili Unaweza kuwa na ufahamu wa fluoridation. Ni mchakato ambao serikali/viwanda vya maji uongeza fluoride kwenye maji kwa ajili ya...
3 Reactions
50 Replies
4K Views
Ili uweze kujua kusudi lako na hatimaye kufikia hatma yako ni muhimu sana kujua muundo wako wewe kama binadamu. Binadamu anaundwa na vitu vitatu ambavyo ni;ROHO,NAFSI NA MWILI. ROHO,hii ndiyo...
20 Reactions
122 Replies
10K Views
Kwa mujibu wa mwongozo wa kiroho wa madhehebu ya kipagani daima huamini kuwa mfumo wa jua ni taswira ya mfano wa babu kizee mwenye ndevu nyeupe "The grand Man" Na katika fikra zao walijiumbia...
5 Reactions
76 Replies
6K Views
Hauwezi niambia there is a limit katika universe and beyond. Kuna limit pale endapo fikra yako itaomba poo au pale resources zako hazitakufikisha zaidi na zaidi (limited resources). Labda...
33 Reactions
84 Replies
6K Views
Habari,Afrika !!! Kwanza Nianze kwa Kusema,Yupo Njiwa mpya, katika Nyumba mpya, aliyetolewa mbawa zake Ili apajue kwa mtunzaji wake,aliyebakiziwa mbili kulia na kushoto,Ategemeaye kupaa kila...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Hivi ushawahi kuwaza kuwa kama kupata mafanikio kwa mganga inawezekana kwa wote basi hakuna asingekuwa na tabu. Mimi nafikiri wale wanaopata mafanikio kutokana na msaada wa mganga sio kwamba eti...
3 Reactions
17 Replies
788 Views
Labda bado hatuajelewa thus kupelekea kuchanganya dhana ya kuwa in control inamaanisha kuwa na control ya maisha yetu au kuwa in control kwa yalio ndani ya mipaka yetu. Wengi tunasemaga maisha...
3 Reactions
6 Replies
487 Views
Baada ya tukio la mwaka 1947 UFO kuanguka huko Roswell, Serekali ya US ilifanya kila namna kupotezea hii story hadi hapo mwaka 2008 fighter jets za Marekani zilipo shuhudia chombo chenye speed na...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
"Na yule ibilisi, mwenye kuwadanganya akatupwa katika ziwa la moto na kiberiti, alimo yule mnyama na yule nabii wa uongo. Nao watateswa mchana na usiku hata milele na milele" (Ufunuo wa Yohana...
4 Reactions
136 Replies
9K Views
Scenario Naomba ni declare interest "Mimi ni mkristo Tena Mlutheri". Hivi lipokuja swala la kuwaaminisha hawa wasio amini Mungu yupo "Kwanini sisi Tunaoamini Mungu yupo TUSIWE NA SAUTI MOJA?"...
33 Reactions
355 Replies
15K Views
Katika kuyatafta mafanikio na kufikia ndoto , kuna vitu vingi unaweza kujifunza .Ningependa ujue aina ya watu na jinsi watu hufanikiwa hii itakupa moyo, ujasiri na nguvu ya kuendelea kupambania...
4 Reactions
2 Replies
570 Views
Habari zenu wakuu?? Hapo nyuma nilikutana na Changa Moto nyingi ambazo ninaimani zilikuwa ni changa Moto rahisi Sana kwa mtu ambaye alikuwa akiziskia na kuziona zilipo kuwa zikini kumba but was...
12 Reactions
49 Replies
3K Views
Mitandao ambayo tunaitumia kujingizia kipato kwa Vijana wengi siyo ya hapa nchini ni ya wenzetu huko majuu, sasa ikitokea shida ni lazima kuwe na remote solution ambayo ni ngumu kusaidiwa haraka...
1 Reactions
2 Replies
325 Views
Wakuu hivi huyu jini maiti kazi yake nini hasa? Maana ninavyojua maiti hawezi kufanya kitu chochote sasa mtu akipandisha jini maiti inakuaje kuaje sasa? Je jini maiti anatokea upande upi? Je...
3 Reactions
57 Replies
22K Views
Back
Top Bottom