Chanzo cha mto Nile kipo Tanzania?

Nilikuwa naangalia makala moja hivi ikasema hivyo hivyo pia

Lakini pia wakati wa kupeleka maji kutola ziwa Victoria kwenda mkoa wa Shinyanga,Misri walikuja juu sana kwasababu walidai tunahatarisha uhai wa mto huo ambao ni mhimili wa uchumi wa Misri

Kwa maana hiyo inawezekana kuna uhusiano mkubwa sana wa hili ambalo umeuliza!
 
Nilitazama kipindi cha TOP GEAR naona mwisho wanadai kuipata the 'true source ya mto Nile' kuwa iko Tanzania
kuna anaejua more kuhusu hili?

Top Gear (series 19) - Wikipedia, the free encyclopedia

Madai ya kwamba chanzo chake ni Tz kweli yapo hata mimi niliskia. but ukweli wa madai hayo ni mdogo sana!!!!

Actualy ni tabia ya mito kufungamana ktk misimu ya mvua kali.

Ule mto unavyanzo (channels) vingi, but kwa ukanda wa huku Afrika mashariki na kati CHANZO CHAKE KIPO UGANDA.

kwanini nasema hivyo?

1. Ukirefer scramble of African continent (before partition = before 1884-5) iliyofanywa na wakoloni, kuna Expert wawili (majina nimesahau) walitrace river nile na kufikia ukingoni UGANDA, na hapo ndipo walipopiga kambi na kufanya mambo mengine ili kuhakikisha Uganda inatawaliwa. Jaribu kugugo Uganda preclude to colonialism.

2. Googe map inaonesha chanzo kipo Uganda, chazo cha mto nile kinapatikana kilometer chache kabla ya kufikia Lake Albert. ambapo ziwa likijaa maji hutoka na kuungana na hicho chanzo.

The Boss Ingia kwa google map ujionee mwenyewe.
 
Nilikuwa naangalia makala moja hivi ikasema hivyo hivyo pia

Lakini pia wakati wa kupeleka maji kutola ziwa Victoria kwenda mkoa wa Shinyanga,Misri walikuja juu sana kwasababu walidai tunahatarisha uhai wa mto huo ambao ni mhimili wa uchumi wa Misri

Kwa maana hiyo inawezekana kuna uhusiano mkubwa sana wa hili ambalo umeuliza!

Hapo walituwekea mkwara tu maana Ethiopia ametengeneza mega dam ingawa Egyptians walileta maneno na kutaka vita na mpaka kuiomba Saudi Arabia iisaidie lakini mwisho walikaa sawa wamisri baada ya kuambiwa na wataalam wa kiithiopia kuwa in fact will decrease evaporation and improve water flow na walipofanya ikabainika ni logic
 
The source of Nile ni upande wa mwisho wa lake Victoria , the boss, pale waliposimamisha benders ya Uk akina James may, Jeremy clackson na richard Hammond ndo pale kitovu ya maji yote ya Nile yanapoanzia, chini yake kuna porosity kubwa sana kuelekea ziwa Albert na badae kufumuka juu na kuelekea Nile .
 
why hao wazungu ndo waje kutuambia kitu kiko pale miaka yote?
mbona hata kutangaza tu kwenye utalii hatutangazi?
huoni kuna mysteries hapo?

mbona hatugombani na uganga wanapotangaza wao chanzo chao cha Nile?
 
Madai ya kwamba chanzo chake ni Tz kweli yapo hata mimi niliskia. but ukweli wa madai hayo ni mdogo sana!!!!

Actualy ni tabia ya mito kufungamana ktk misimu ya mvua kali.

Ule mto unavyanzo (channels) vingi, but kwa ukanda wa huku Afrika mashariki na kati CHANZO CHAKE KIPO UGANDA.

kwanini nasema hivyo?

1. Ukirefer scramble of African continent (before partition = before 1884-5) iliyofanywa na wakoloni, kuna Expert wawili (majina nimesahau) walitrace river nile na kufikia ukingoni UGANDA, na hapo ndipo walipopiga kambi na kufanya mambo mengine ili kuhakikisha Uganda inatawaliwa. Jaribu kugugo Uganda preclude to colonialism.

2. Googe map inaonesha chanzo kipo Uganda, chazo cha mto nile kinapatikana kilometer chache kabla ya kufikia Lake Albert. ambapo ziwa likijaa maji hutoka na kuungana na hicho chanzo.

The Boss Ingia kwa google map ujionee mwenyewe.

hii ishu ni very sensitive kiutalii.....tunapaswa kuizuia Uganda kujitangaza kuwa na chanzo cha Nile kama kweli kiko kwetu
 
Nilikuwa naangalia makala moja hivi ikasema hivyo hivyo pia

Lakini pia wakati wa kupeleka maji kutola ziwa Victoria kwenda mkoa wa Shinyanga,Misri walikuja juu sana kwasababu walidai tunahatarisha uhai wa mto huo ambao ni mhimili wa uchumi wa Misri

Kwa maana hiyo inawezekana kuna uhusiano mkubwa sana wa hili ambalo umeuliza!

Point hapa ni hii Uganda wanajitangaza na wanapata watalii wengi kwenda kuona chanzo cha Nile
sasa kama tunacho sisi mbona tuko kiimya?

hadi wazungu ndo waseme?
hatuoni faida za hili jambo kitalii?
 
hii ishu ni very sensitive kiutalii.....tunapaswa kuizuia Uganda kujitangaza kuwa na chanzo cha Nile kama kweli kiko kwetu

Nakusoma vizuri sana.

Lakini sidhani kama itawezekana kwa Tz kijitangazia hivyo kwa maana ule mto hautoi maji ya Tz na kupeleka kule unless ziwa victoria lifurike sana.

Naamini maji yanayokwenda Egypt kuna amount fulani ya maji ya Tz but its too remotive!!!!!! kwamba ziwa victoria lijae, maji yaelekee Lake Albert, then lake albert lijae maji yarudi river albert na hapo ndio yaungane na maji yanayokwenda Egypt.

Angalia picture hii:

327px-River_Nile_map.svg.png

Si umeona hapo?

Lake albert linapokea maji toka river albert! maji yakijaa sana ndio yanaturn maji kurudisha river albert and then yanaungana na vyanzo vya kupeleka maji Egypt. Kinachorahisisha ni kwamba, slope ya river altert kuelekea lake albert ni ndogo kiasi cha Ujazo wa maji kutoka lake albert kuweza kuyaturn maji na kuyapeleka kwa vyanzo vya mto nile.

After all kiusanii usanii Tz yaweza jitangaza but itashindwa kumzuia Uganda asijitangaze.
 
Back
Top Bottom