Katika kuyatafta mafanikio na kufikia ndoto , kuna vitu vingi unaweza kujifunza .Ningependa ujue aina ya watu na jinsi watu hufanikiwa hii itakupa moyo, ujasiri na nguvu ya kuendelea kupambania...
Habari zenu wakuu??
Hapo nyuma nilikutana na Changa Moto nyingi
ambazo ninaimani zilikuwa ni changa Moto rahisi Sana kwa mtu ambaye alikuwa akiziskia na kuziona zilipo kuwa zikini kumba but was...
Mitandao ambayo tunaitumia kujingizia kipato kwa Vijana wengi siyo ya hapa nchini ni ya wenzetu huko majuu, sasa ikitokea shida ni lazima kuwe na remote solution ambayo ni ngumu kusaidiwa haraka...
Wakuu hivi huyu jini maiti kazi yake nini hasa?
Maana ninavyojua maiti hawezi kufanya kitu chochote sasa mtu akipandisha jini maiti inakuaje kuaje sasa?
Je jini maiti anatokea upande upi?
Je...
Control powers ndizo zilizotujengea misingi na mipaka ya utafiti na matamanio yetu.
Dini, Mamlaka kuu za kutawala na Secret Societies ndizo hizi control powers.
Hivyo ni vyombo vitatu...
Aliyekuwa Kiongozi wa Jumuiya ya Freemason Tanzania na Afrika Mashariki, Sir Jayantilal Keshavji ‘Andy’ Chande, amefariki dunia.
Sir Chande amekuwa mwanachama wa Freemason kwa takribani miongo...
Yesu na Maria Magdalena
Watu wengi wanajua hadithi ya Yesu wa Nazareti kutoka kwa Biblia ya Kikristo. Alizaliwa huko Bethlehemu, mwana wa Mariamu, ambaye alikuwa bikira na ambaye alimchukua Yesu...
Huu ni mfano wa sanduku la agano ambalo wana wa Israel waliambiwa watengeneze na Mussa wakiwa nyikani wakitoka Egypt (Misri) wakielekea promised land (Nchi ya ahadi). Sanduku hilo lilikuwa ni kama...
SOMO: FAHAMU NGUVU ZAKO ZA KUZALIWA KWA UFUNUO WA ROHO MTAKATIFU
Kumb 33:1-9, Mwanzo 49:3-7, 1Kor 2:10
Kila mwanadamu aliyeumbwa na Mungu Aliye Hai, ameumbwa na nguvu maalumu kutoka mbinguni...
Soma hii kwanza kabla sijaendelea ili upate msingi wa kile nitakachoandika
Mawasiliano ya kiroho katika milango nane ya fahamu - JamiiForums
Nitatoa mifano michache lakini kwanza pata picha ya...
SEHEMU YA II
Pia soma sehemu ya I
Shroud of Turin (sanda aliyovikwa Bwana Yesu inayoonyesha sura yake) ni kweli ilikuwa ya Yesu Kristo?
HUENDA LEORNARDO DA VINCI ALIUHADAA( danganya) ULIMWENGU...
MAMBA ni mnyama anayekula nyama, huweza kuishi nchi kavu lakini maisha yake kwa kiasi kikubwa hupendelea kukaa majini, tofauti na fikra za watu wengi ambao hufikiri mamba anazaa ukweli ni kwamba...
Afrika ni Bara la pili kwa ukubwa duniani pamoja na kuwa na wakazi wengi huku likiwa linakaliwa na Waarabu, pamoja na Weusi (Blacks/Negro) wakitenganishwa na Jangwa la Sahara. Waafrika Weusi...
Si lengo wala dhamira yangu kupinga wala kupindisha Imani ya mtu yeyote, bali ni wajibu wangu kama binadamu mwenye akili na upeo wa kudadisi, kuchanganua na kuyaelewa mambo mbalimbali katika namna...
Wale wazee wa "tafuta pesa wewe"
Kama sijakosea tumegawanyika katika makundi haya:
■masikini wa kutupwa
■masikini wa kawaida
■mwenye nafuu katika maisha ■mwenye nafuu zaidi
■mwenye nafuu maradufu...
Mmeshindaje wanaJF wenzangu?
Tukiangalia kona nyingi ama nchi nyingi za Afrika zipo ndani ya vita vya ndani ambapo wahanga wakuu ni wananchi ambao kila anayepigana anataka kuwwtawala. Riek...
Prolonged exposure to the same work environment can breed stagnation and limit professional growth.
Working with the same colleagues for extended periods can lead to ingrained stereotypes and...
kuna vitu vingi vya kushangaza mno, ambavyo kutokana na kutwezwa na mahangaiko ya dunia tunakosa muda wa kuvitafakari
1. Dunia ya Mungu ilikuwa mashariki ya kati?
Hapa ndio kama Mungu alipatambua...
Kwanza nianze kwa kuelezea ndoto maana yake,
Ndoto ni mkusanyiko wa matukio ambayo binadamu huyaweka kichwani kwake ambayo humjia bila zuio (involuntary) kwenye ubongo wakati akiwa...
Ooh!
Sawa kabisa.
Usipoelewa sasa, utaelewa baadaye.
Basi bhana, Mfalme Nebukadneza katika fahari yake, akawa anatembea kwenye kuta za mji wa Babeli huku akijisifu namna alivyoiboresha Babeli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.