kalooo
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 270
- 154
Habari,Afrika !!!
Kwanza Nianze kwa Kusema,Yupo Njiwa mpya, katika Nyumba mpya, aliyetolewa mbawa zake Ili apajue kwa mtunzaji wake,aliyebakiziwa mbili kulia na kushoto,Ategemeaye kupaa kila sehemu hapo mbawa zitakapoota,Na mtunzaji wa nyumba yake kazungushia zile mbawa kwa kuzichomeka kwa juu kwenye nyumba kubwa ya wote[familia] ili kiumbe huyu azungukapo mara ya kwanza mpaka mara ya saba,kwa saba imo sabini katika utimilifu wa hesabu ya masiku ya heri zote katika dunia,Njiwa katika kuzoea kwake huweza kurudi na kuingia katika nyumba yake, iliyokatwa mara mbiili juu na chini, Huwa mwenyeji wa pale mpaka muda ulioamriwa akapate kuwa kitoweo kwa walaji.
Na hayo ndo mapichapicha,mbali na mauzauza yasiyopendwa na wengi,Hii ni Kusoma najua na hata picha pia,Eti bibi na bwana kichwa chini miguu juu ndo Sayari hii kweli bado?,Labda mamah !
Bussy Signal-dreams of brighter days.
kwa 52 korani,Koran68- sur at - qalam,Hakika yapo mabustani ya neema kwa wachamungu kutoka kwa mola wao mlezi katika Sur at Maarij korani 70 masiku ambayo kadiri yake ni miaka hamsini elfu[wasijue kasoro ya umri wa Nuhu kuishi na umma wake akiwalingania], wapo malaika na Roho wanapanda kwenda Kwa Mwenyezi Mungu mwenyewe mbingu za daraja.Waebrani1;3.
Basi Ewe Njiwa,Ewe njiwa peleka salamu popote kwa yule ,kwa yule wangu wa thamani,Akaaye kuliani kwangu na mafungu mengi katika aingiapo na atokapo,Huyo Africa number one,wakiuliza labda Juma nature?,waende kwanza Dodoma,Manyoni Sukamahela mlimani wataona ama waje Dodoma Ipagala kwenda kwa Muhando wa Haleluya/mwimbieni bwana ya wote.
Zipo ole tatu,Huu ni wa pili,Na zinaenda mbili-mbili kwa ushahidi wa Sur at- Qymat;34-35 kila majira, Ole huu ni wa nchi ya Uvumi na mabawa[mitano, mitano]ya kujiandaa waingiapo na ya hivo watokapo,iliyombali kupita kidogo mito ya kushi[Sudani kusini] ndani ya mashariki kuu,nyota Kwenye Bendera, Kongo.Katika vyombo wale waliotumwa walifika na wakaweka alama.
Mamajusi ni wa kila majira.Katika vyombo vya nyasi wajumbe Walikuwa kibishara,kuleta,dini na kupeleleza bara la giza wakaona UZURI WA BARA na mategemeo yajayo badae,Zipo alama kama ngome za Yesu,Rasi ya tumaini Jema,ziwa victoria kama chanzo cha mto Nile, mlima kirimanjaro nao waliuona,Wapo majira na Nyakati zote za dunia
Watu warefu,wenye nguvu,wakanyagao watu.
kati ya mlima Meru watu wapo Kirimanjaro na Mchanga usiochanganika na mwingine hapo Kiteto kama mwanzo.Ndivyo walivyotumwa hata kwenye nchi ya mbali[Tanganyika] pamoja na Zenji Bar[Zanzibari] ili kuiweka Kwanza UMOJA,1821,1890 NA 1961 mwanadamu asamehe mpaka wakati mlima wa saba bada ya vikwazo vyingi katka njia zake[Ndani yao, yeye ni chifu kwa huo mkuki].Utakaofaa kwa Nguruwe sio kwa binadamu,Katika mwisho wa mshindo mkuu,Wawili jumla yao ni 157 si 115,ni utajo mmoja,haki ya Wote Ni 5050].
Mlima ulioleta vikwanzo utaondolewa na kutupwa baharini na vyote vilivyomo,hii ni laivu kwa imani kama chenga ndani ya 70 baada ya ukamilifu wa kundi la rangi za kutupeleka kwenye mazuri, Unyakuo,ugeni mkubwa wa wote wenye mwili.
Nami namshukru Mungu mwenyezi kwa mapenzi yake kwa Taifa Jipya,Mbingu mpya na Dunia yenye msitakabali mpya kwa watu wote na hasa watesekao kutoka makwao,
Hapo Namibia,Waebrania.
Sifa za pekee na zimwendee mola mlezi,kutoka kwa Mungu wetu, na leo kwa rahman,mnemeshwa kwa kutuona na kutukumbuka sisi watu warefu,Laini wenye nguvu na wakanyagao watu,Tutishao Tangu zamani za wazee wetu.
Hapo Gambia,Waebrania.
Naona sasa wingu jeupe lililotanda juu ya mji,au nchi.Heri iliyo kuu kama watu wote watasikia dalili za Tarumpeta la mwisho, kutoka nchi ya uvumi na mabwawa iliyozungukwa na maji mengi.Ijinasibuyo kwa ujuzi wa vinywa vya watu wake toka enzi na enzi(Siasa yao na desturi Yao Ni Uhuru wa wengi).
Hapo Guinea,waebrania.
Itazamiayo kuinua bendera juu ya mlima wa bwana katika majira ya ukamilifu wa kondoo mwanaume kwa cabon14,aliye binti wa mfalme wa kusini katika ukuu wa juu zaidi,Na michirizi yao ni miekundu,mieusi sana na mieupe katika mlima ulio kwenye maji mengi ili kutimia kwa(Danie12,Quruani53, Isaya53).
Wainuao sauti kwa pamoja kwa mashariki mbili na magharibi mbili,wakisema Tanzania,Tanzania nakupenda wakiwa na Roho Yao toka enzi
Kwa mioyo Yao yote.Na Lazima Mungu Kuibariki Afrika Viongozi,wake kwa Waume na Watoto katika Mara ya kwanza mpaka Mara ya 7 usamehe katika 70 ,mwendo wa kila mwaka kukitafuta uwepo wa Kizazi kipya Cha miaka 40 ya farasi washindanao kwa kukimbia mbio huku na huku kwenda kwa Bwana kwa idhini ya Mungu mwamzi wa yote.
Hapo Somalia,Waebrania.
Na katika rangi ya Yanga ni Afrika walikubaliana kusubili
Mpaka hapo muda wa utimilifu wa siku 3333 baada ya nyakati mbili na nusu iwe heri zaidi, wakapate picha kamili ya Jezi ya Simba kutimia Nembo yao mikono ya mtumwa iliyokusanyika katikati ya Mlima tumbo[Kwa Bangoza,Kuna amrisho la mema,kuna Madaraka na Mbingu juu ya watawala wa watu wote,wote tunasimama na kulala,Na neno la haki ni kwamba hata ukiwa siyo mnyenyekevu hiyo ni haki yetu wote,unyenyekevu ni tunu] ili kumwondoa mtumwa utumwani na kwenda kutengeneza umoja wa kudumu kwa wote,Ni msitakabali wa watu wengine wote duniani pamoja na utulivu wa vizazi vijavyo kwa uzuri wa makwao.
Hapo Tunusia,Waebrania.
Hakuna Chenye kufichika mbele ya Mungu wetu,Kiwe kile pale wakusanyikapo watu Watano ama Sita kwa safari ya kuvuka Mlima wa bwana,maji mengi hadi jumba kuu la Mwonekano wa utakatifu toka enzi na enzi,Nyumba Takatifu,kwa mtakatifu wa malaika watakatifu.
Hapo Mauritania,Waebrania.
Waliochini ya Malaika mwelewawa wa mengi,aonekanaye dhaifu alivyo mpole[ndani imara ya yote] baada ya Hodari na hivi karibuni maenezi ya Duniani kote, afananaye na mwanakondoo katika kuliongoza Kundi kubwa la watu wengi.Hakika sanduku lile ni ushindi kama ushindi wa Msalaba uliotengenezwa kwa Tanzanite,Kwa Taifa ni Ushindi mkubwa mbele ya Mama Africa,mmoja kwenye Afrika mashariki.
Hapo Zambia,Waebrania.
Kujaa kwa kikombe hiki ni kutokana na Ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke ila kwa mapenzi yako Baba,Nasasa kikombe[Watu wa mkuu atakayekuja watafanya ukiwa patakatifu pake na mji] ,kama Yane na Yambre kwa Musa ndivy kwa sasa katika maira haya,nimekinywea na mwendo nimeumaliza kama mwanafunzi niliyetumwa katika mji ule na nyumba ile niliyokung'uta mavumbi kuondoka ili kuweza kuitafta amani ya Watu kwa Mungu.Na hakuna KIPENYO katika makundi ya Majini na watu katika mbingu na ardhi ila cha madaraka kutoka kwa Mungu Nayo Ni sura Rahman na Ni ipi Kati ya neema za Mola mlezibmnayoikanusha,ametukuka na Hayo wanayomeshirikisha Nayo,tuliwatuma wawili-wawili na badae tukaongeza mmoja,kama tulivyokufunulia,wanakuita njoo utushauri,usiwatii majini,mawe yote tukafunua kwa ndugu kuwa mwenye dharau hashauriwi.Fuata yale tuliyokufunulia,Katika utauwa ipo faida ya wengi ambayo wengi wmeamua kuifata.Na Mungu baba atawajali maana yeye ndiye aliyewaita.
Hapo Ethiopia,waebrania.
Na sheria ni ile ile,Iliyo kuu ni Upendo.
Na amri kumi ni mhimili wa kuistahimili adhabu ya Mungu kwa Kizazi hiki.
Hapo Algeria, waebrania.
Yupo Mungu kwanza kwa kila jambo,Na ipo habari ya mapumziko katika uumbaji,nayo ni siku ya bwana iwe ndani mwako,Na ukawashukru wazazi na kuwaheshimu ili katika hayo nawe uzidi katika mema,Na hakika kila kiumbe hai ni muhimu katika uwepo wako na wengine,Anayo madhara mbele ya Mungu yule aishie kwa Uongo,Na asiwe mtu mwizi katika achumavyo au akusanyavyo mtu au kikundi kingine,Maisha na Familia ya mola ni Heshima ya ndoa nje na ndani kwa watu wote,Katika Uzembe hutoka tamaa,Na katika tamaa umo uzembe mkubwa,Na msaada kwa wahitaji ni baraka kwa Mungu.Na hapo ndipo ilipo Thom zake,Ipo Farasi wajitomao katika kundi,Na wengi hawakujitoma na njia ya vikwazo ya mlimani,inayowajulisha kumkomboa mtumwa,Yupo Tomaso aitwaye Pacha,Na amka e upanga kwa mtu aliye Pacha wangu,Hapo hakuna tupu katika kutaja maneno ya nomino kuu.
Hapo Liberia,Waebrania.
Na jamii,mtu akiyakoswa haya hata stahimili adhabu yeyote katika mbao mbili za sanduku la bwana zenye usawa katika milango miwili ifungwayo na kutengeneza kwa kama mafundo ya miti iliyozidi kwa juu,Vishikizo kwa watu sita kwa kile kilichotokea Holy see ama patakatifu pa patakatifu zamani katika Musa na Yoshua ili kuiweka vyema misingi ya nchi yenye jina moja juu,Na sisi tumesaidiwa na bwana.Na hapo ndipo Kinywa cha Sabaa mpaka hapo kikakoma kunena mara kwa mara maneno ya Kwamba: Naye (mwebrania-pacha) akauchukua mji, ni mafuriko yametanda,barabara Hazipitiki yaliyokuwa yanamrudia mara kwa mara kinywani.
Hapo Nigeria,Waebrania.
Kwa mashahidi malaika waliojipanga mbingu ya kwanza mpaka ya saba kwa mtiririko wa kukitafta kiti cha mola mlezi wa Arshi iliyokuu kwa sasa.
Wapo wanao waits malaika kwa majina ya kike,Wajitahidi wawaone kiroho hao ili tukaipate Amani ya Mioyo.
Hapo Eritria,Waebrania.
Nasi mpaka hapo,Yale Petro aliyoyasikia mlimani juu ya kujenga vibanda vitatu,Eliya,Musa na Yesu Kristo yameshakwisha kusemwa kwa Mwana wa Adamu aliyezoezwa kupambanua ya Sirini na Mungu wake aliyomtuma kwetu(wakina-Petro baada ya jogoo kuwika majira yote Ni vile vile).
N:B Movement in Space and time is Elohim Jivah.
Mungu ni mmoja,mjumbe ni katika mabonde na miinuko
Nimemtuma njiwa, kwenu Alete salamu .
[wapi Christopher Columbus? hey ,Brother Burning Spear ,coco the rasta.
wapi Vasco Dagama na John Krapf, hii ni rasi ya TUMAINI JEMA on a Mountain,
wapi John Hanning Speke ,tupo sasa nchi za maziwa makuu].
Sanamu la Nyerere hapo Adis Ababa ni kukumbusha tu Malengo ya juu zaid ya EAC,ECOWAS,SADC,AU, Tulipita hivi kila Kundi Kwa kujua Tukiwa kama people Tutakutana.Ukweli ni kwamba tujifunze falsafa ya fedha na namba na herufi kwa dunia hii, leo Shilingi imepinduka,Kama huamini kusini kulikuwa na pepo zivumazo na mavumbi basi mimi tena kwa Ibrahimu siyo siri kupona nitachelewa,Nitachelewa mimi.
Nimesimama Isaya 53 kutoka mlima wa vikwazo[qurua90,quruan100,Isaya52.Luk4;18] na mimi ni Freedom fighter wa LUCK DUBE.
Umarioo wa Yale leo sio wa Rufiji tu kwa ushahidi wa Shabani Robert leo ipo Ulikuwa wapi nayo siyo ya Kibiti tu bali kwa wote na wapendao kiswahili kwa nguvu ya Marco Polo.
upo msemo kwa Paul Makani ;Kazi nzito mpe msukuma, Mchele mchele-Nafuhwa Lwanga,Budagala na Mr. Ongengo wa Kenya na Afrika tunataka Amani,Tutakumbuka kwa kifua mbele,maja munda katikalaga[kizazi huja kizazi huondoka ].
Mwenda Tezi na Omo marejeo ngamani,yote bahari haikai na uchafu.
God bless Masada[/B] kwa Kabila,Jamaa,Lugha na makusanyiko ya mataifa.
NA HILO NDILO NENO LA MUNGU,NA TUMSHUKRU MUNGU.