Zuzu.....!!!!

Zuzu.....!!!!

Mshuka1

Member
Joined
Sep 2, 2013
Posts
5
Reaction score
2
Zuzu mmoja alienda kumtembelea rafiki yake ilipofika ucku mvua kubwa ikaanza kunyesha.
Mwenyeji: Duuh! Mvua ni kubwa sana,kama vip lala hapo sebuleni utaondoka asubuhi
Jamaa:Sawa.Baaada ya mvua yule mwenyeji alipotoka sebuleni kunywa maji,akamkuta jamaa kalowa
maji mwili mzima.
Mwenyeji: He!! Vip mbona umelowa kiasi hicho?
Jamaa: Nilienda nyumbani kuchukua shuka...!!!!
 
Haha

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
baada ya kuambiwa hakutakiwa kwenda kuchukua shuka akakimbia kulirudisha na kurud kwa jiran kulala
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom