'Zuzu na Mpesa' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

'Zuzu na Mpesa'

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mtanzanika, May 6, 2012.

 1. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,207
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Jamaa mmoja alituma M pesa kwa bahati mbaya akamtumi Zuzu.
  Zuzu aliposhtukia katumiwa na mtu asiyemjua harakaharaka akaituma kwa Janja rafiki yake ili kuwapiga chenga wenye mtandao.
  Baada ya muda mfupi akapokea simu na kupewa shukrani nyingi na ahsante kwa kitendo cha kiungwana alichofanya.

  Alipomaliza kuongea na simu akagundua kuwa zile shukrani hazikutoka kwa Janja rafiki yake bali zilitoka kwa yule jamaa aliyetuma pesa kwa makosa.

  ndipo Zuzu alipobaini kuwa hakuzifoward zile pesa kwa rafiki yake Janja na badala yake alikosea na kuzirudisha zilipotoka.
   
 2. B

  Baby shangazi Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  teh teh!mcheche umemponza
   
Loading...