Zuwena nyimbo nzuri japo amesample

Zuwena nyimbo nzuri japo amesample

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,672
Reaction score
3,737
Nyimbo nzuri video yake ni kama short movie
Changamoto ni melody ya nyimbo amesample kutoka kwenye nyimbo ya zilipendwa ya wasafi
 
Kama wimbo wa zilipendwa ulikuwa kazi Yake akiwa na wasanii wenzake afu yeye ndo alikuwa Mastermind Sasa tatizo liko wapi akisample?
 
Back
Top Bottom