Zungu: Wanaotaka ubunge kwanza waende JKT

Zungu: Wanaotaka ubunge kwanza waende JKT

Dotto C. Rangimoto

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,985
Reaction score
1,286
Akichangi muda leo bungeni alitoa rai kwa wale wanaotaka ubunge kwanza waende JKT ili wapate nidhamu, hii ni kutokana matusi yaliyotamkwa jana na wabunge.
 
Kwa hiyo yeye anyanganywe ubunge kwanza kwani alienda bila kupitia ubunge
 
Kuwa makini yule siyo zungu, ni IDI AZANI mbunge wa kinondoni..
 
Ni mburura.. Yeye mwenyewe kapata tu juzi juzi...
 
Mbona Lusinde ameenda jeshini lakini amerudi na kuropoka ma2c bungeni.
 
Akichangi muda leo bungeni alitoa rai kwa wale wanaotaka ubunge kwanza waende JKT ili wapate nidhamu, hii ni kutokana matusi yaliyotamkwa jana na wabunge.

Naungana naye lakini labda nisistize kwamba wapitie course hiyo kwa mwaka mmoja siyo miezi mitatu kwanza wanaondoka bila kuzalisha chochote wanakula wasichopanda.
 
Je uzalendo ni nini? Binafsi kuna mbunge mmoja kamjibu mbunge wa kinondoni aliye daikuwa anayetaka kugombea ubunge apitie kwanza JKT ili kujenga uzalendo lakini kiuhalisia kuna wabunge wengi wa chama cha majambazi wamepitia JKT lakini uzalendo wao walio upata na ufisadi na matusi kama Lusinde. Nkamia je huo ndio uzalendo walio upata JKT?
 
Jk, lowassa na wengine wamekaa jeshini na leo hii wanapiga deal juu ya bega la mswahili mwenye njaa kali na wanaendesha unyonyaji wa rasilimali za watanzania.
Uyo mbunge wa ccm aliyeongea huo upuuzi anatakiwa atutake radhi haraka.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Naungana naye lakini labda nisistize kwamba wapitie course hiyo kwa mwaka mmoja siyo miezi mitatu kwanza wanaondoka bila kuzalisha chochote wanakula wasichopanda.

Mkuu hawa waheshimiwa walikua JKT wiki tatu na siyo hata hiyo miezi mitatu.
 
Hakuna kitu kama hicho , kama ni kwenda kaenda yeye, kwa nini hakwenda kabla hajagombea ?
 
Inaniwia ngumu kukubaliana na hoja ya huyu mheshimiwa japo kwa juu inaonekana nzuri:

1. Wabunge kama Mwigulu ndiyo hao wamepitia jkt lakini wamerudi Bungeni na kuanza matusi.

2. Tuangalie kwanza hao walioenda JKT wame badilishwaje na JKT.

3. Bungeni tatizo si uzalendo wala si nidhamu bali ni Bunge linalo endeshwa kwa upendeleo wa wazi wazi kabisa.
 
Akichangi muda leo bungeni alitoa rai kwa wale wanaotaka ubunge kwanza waende JKT ili wapate nidhamu, hii ni kutokana matusi yaliyotamkwa jana na wabunge.
Mbona huko JKT kwenyewe ndiyo chuo kikuu cha matusi. Tulipokuwa JKT (operation jikomboe mwaka 1973) lilikuwa linaitwa JESHI LA KULA TU
 
Je sisi tusikuwa na mpango wa JKT?? au ndio ubunge tutausikia kwenye bomba???
 
inaniwia ngumu kukubaliana na hoja ya huyu mheshimiwa japo kwa juu inaonekana nzuri:

1. Wabunge kama mwigulu ndiyo hao wamepitia jkt lakini wamerudi bungeni na kuanza matusi.

kama lusinde jana katukana sana, sidhani kama kweli huko jkt alijifunza nidhamu.
 
Mod badilisha title aliyesema wabunge wapitie JKT si Zungu ni Idd Azzan Mbunge wa Kinondoni si wa Ilala, Zungu
 
Inaniwia ngumu kukubaliana na hoja ya huyu mheshimiwa japo kwa juu inaonekana nzuri:

1. Wabunge kama Mwigulu ndiyo hao wamepitia jkt lakini wamerudi Bungeni na kuanza matusi.

2. Tuangalie kwanza hao walioenda JKT wame badilishwaje na JKT.

3. Bungeni tatizo si uzalendo wala si nidhamu bali ni Bunge linalo endeshwa kwa upendeleo wa wazi wazi kabisa.
[/QUOTE

JK ALIKUWA KANALI WA JESHI, MKUCHIKA, CHILIGATI ,LOWASSA, SUMAYE, WAMEPITIA JESHI. HATA MIMI NIMEPITIA JESHI MWAKA MZIMA PALE MAFINGA OPERATION VYAMA VINGI. NIDHAMU NA UZALENDO WANGU SI KWA SABABU YA JESHI.

UZALENDO UNAJENGWA NA UMOJA, UTU, MSHIKAMANO NA UPENDO VINAVYOLETWA NA HAKI NA KUHESHIMIANA.

, SUMAYE
 
Back
Top Bottom