MdengestanfromCuba
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 666
- 753
Mheshimiwa analalamika wananchi wanatozwa GHARAMA KUBWA!!, Bongo sihami
Duh...
Shangaa na weweDuh...
Hii NNJI hiiWakati anapendekeza alitegemea nini?
Mtu mmoja mwenye Sura mbili🤣🤣😳😳😳😳😳😳
![]()
Azzan Zungu ataka uwepo wa kodi ya uzalendo itakayokatwa kwenye Mitandao ya simu kwa kila Mtanzania
Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu ametaka kuwepo na kodi ya uzalendo itakayokatwa katika mitandao ya simu kwa kila Mtanzania kwa siku kama chanzo kipya cha mapato kwa Serikali. Amesema kiasi hicho kikikatwa kwa Watanzania milioni 30 kati ya wote waliopo nchini huweza kufikisha shilingi bilioni 540...www.jamiiforums.com
Mtu mmoja mwenye Sura mbili🤣🤣
Huyu sijui mhindi anatuona sisi wazawa wajinga sana. Mheshimiwa Zungu mkuki wako ushatuingia ubavuni, hata ukisema utolewe, sisi hatuta kusamehe coz maumivu na majaraha hayato tupona.