Zungu leo kalonga; Makampuni ya SIMU CELTEL [I stand to be Corrected]

Hoja zisizo na maana,
Nani alikwambia makampuni ya simu huwa yanawekeza kwenye majengo?
Labda kama alikuwa na madai mengine ya kodi na gharama sawa.

BRAIN WASHED kind of person; Unaongea kutokea wapi; je ni upande wa watanzania au upande wa wawekezaji?. kama wewe ni mzalendo unaongea hivyo basi hii nchi tuna hasara.
Is it eleventh Commandment that these mobile phone operators should not erect their own buildings? . Kwa nini waishi kupanga panga kama wana lengo zuri na wewe huoni huo ni ushauri mzuri ?

wewe ni wale wale wakimbizi katika nchi yao na unatakiwa ujivue gamba la ukoloni mambo leo la sivyo you're a blind folded by these campanies na wewe hakika ni traitor of your own people.
 
Zungu kalisemea hili kwa hisia kali - serikali ilifanyie kazi na waziri asiiupuuze mchango wa Zungu katika hili.

Ulivyomuelewa wewe mkuu makah ndio nilivyomuelewa mimi,nikikusudia kuwa HISIA ZAKE za leo zimeonyesha KATUA MZIGO,kama wana JF nasi tunatumia Jukwaa hili kutafuta ushahidi kuthibitisha hilo,kwa umoja tutaleta mageuzi.

Kuna mdau alipata kuniambia kuwa PESA ambayo makampuni ya SIMU yaliyotengeneza HAPA NCHINI,toka yameingia yanauwezo wa KUWAPA HUDUMA YA KUPIGA SIMU BURE wateja wao wa mitandao husika, kwa miaka MITANO [5] yakimuda kujiendesha kwa kulipa mishahara na matumizi ya gharama zote za maintanance kwa miaka hiyo bila kuathilika.
 
kayaona haya au kayasikia!? au ni kisingizio kuwa 'gamba' moja limevuka!?

Wakuu tuwe realistic pia objective tunapochangia hoja. Ukweli Zungu ameongea pointi ambazo nasema zimefunika ule mjadala na hakuwa na unafiki wowote wa ku-portray magamba au nini ila aliongea kwa manufaa ya waTz na mimi binafsi nimesikia vizuri.

mbunge hata kama akitoka Magamba lakini akatoa mchango wa nguvu hebu tuweke ushabiki pembeni tumpongeze na hiki ndicho kipimo cha ukomavu wa kisiasa. Mimi mwenyewe siyo mfuasi wa CC-Magamba ila pale mmoja wapo anapochomoka ndani ya shimo na kusema jambo zuri la kizalendo basi tumtendee haki.
 
jamani kama kaongea point hapewe point, hata kama ni magamba na hii itawapa na wengine moyo au yeye kuongea zaidi. huu utamaduni wa kuponda kila kitu tumeutoa wapi?
tunajenga nchi au tuna malengo mengine?

mimi kwa mwana magamba yeyote atakaye ongea kama zungu na abalikiwe,
tuna serikali mbovu chanzo kikubwa ni sisi wananchi, tukiwa siri tunajifanya makomando
lakini wengi wetu tunaona maovu na kuyakalia kimya kila siku.

tubadilike tupinge na kupongeza pale inapobidi yeye kasema sasa ni jukumu la TRA kuchukua hatua
na nijukumu letu wananchi kutupia macho ni kiasi gani cha kodi tutapata mwakani kutoka na haya makapuni
kama watendelea kubebana( TRA na MAKAPUNI YA SIMU) basi tuwashe moto yeye kama zungu hawezi kulibadilisha ili taifa peke yake au wewe kama wewe
tuwe tunaungana mkono kila kwenye hoja ya msingi,

Aksante Mkuu hawajui ni jinsi gani haya Makampuni yalivyo na jeuri kwa sasa kwa kuwa yametengeneza PESA nyingi sana.Tulikuwa na CELTEL ikawa ZAIN leo AIR TEL.Tulikuwa na VODACOM sasa VODAFONE,Tulikuwa na MOBITEL ikawa BUZZ ikajakuwa TIGO,Yote mambo tupu kwanini yote hayo tunategeme wingi wa hayo makampuni iwe nafuu ya MTANZANIA.

Hata kama ni wa magamba leo kanikosha,nampa haki yake,ukizingatia hawa makampuni ya simu yanatuchezea faul kama tuko kushoto sana hatujui nini wanafanya.
 
Binafsi sijaona pointi unayomfagilia hapo

Kwa takwimu alizotamka Serikali inapoteza TRIONI MOJA NA BILLION MIA TANO unasema uoni.You are kidding dude,I hope you must be among those man of vijisenti, that great ila mimi imenigusa pesa hiyo barabara za vijijini baadhi zingepitika na hivyo kuwasaida wengine kupata maisha bora na bidhaa muhimu ingefika mijini kwa bei reasonable.
 
Alichofanya Zungu ndicho wabunge wengi wa CCM wanachokosa kufanya yaani uthubutu wa kutetea maslahi ya nchi,badala yake wengi wemekua sio analytical hata kidogo kuna mambo mengi yanaonekana wazi lakini wanashindwa kuyatetea bali wamebaki kupigia makofi hata usomaji wa hoja unaofanywa na mawaziri...Mimi nadhani shida ni kuwa wengi wa wabunge wa CCM wamefika hapo walipo kwa kubebwa tu? Mfano yule wa Tabora aliyepata kura za maoni yapata elfu mbili dhidi ya Bashe aliyepata kura zaidi ya elfu 14...kwa kweli tusitegemee mbunge kama huyo kuwa objetive awe ameenda shule au la kama tunavyoshuhudia. Nampongeza sana Zungu kwa kupoint out weakness nyingi zinazochangia kupoteza mapato kwa serikali kwa upande wa mawasiliano.
 
Alichofanya Zungu ndicho wabunge wengi wa CCM wanachoshindwa kufanya yaani uthubutu wa kutetea maslahi ya nchi,badala yake wengi wemekua sio analytical hata kidogo kuna mambo mengi yanaonekana wazi lakini wanashindwa kuyatetea bali wamebaki kupigia makofi hata usomaji wa hoja unaofanywa na mawaziri...

Mimi nadhani shida ni kuwa wengi wa wabunge wa CCM wamefika hapo walipo kwa kubebwa tu? Mfano yule wa Tabora aliyepata kura za maoni yapata elfu mbili dhidi ya Bashe aliyepata kura zaidi ya elfu 14...kwa kweli tusitegemee mmbunge kama huyo kuwa objetive awe ameenda au la kama tunavyoshuhudia.

Nampongeza sana Zungu kwa kupoint out weakness nyingi zinazochangia kupoteza mapato kwa serikali kwa upande wa mawasiliano.

Yaah nakubaliana nawe kuwa muda umefika wabunge mokofi waanze kuona AIBU na kama hawasikii tutaanza kuwanotes tukikutana mitaani au barabarani ni kumkejeri kwa KUPIGA MAKOFI ili waone AIBU,inaanza hatua moja,kama hii ya Zungu.
 
Zungu anaongea pumba, jaribu kufanya utafiti mkuu.

Kila sekta inataratibu zake, wewe jiulize kampuni za simu zijenge majengo kwa ajiri gani? Ni kama mabenki tu, umeshawahi kujiuliza kwa nini hayajengi majengo? Hata BoT kama regulator wakiona benki ina invest kwenye majengo lazima wakitilie shaka!!

Kampuni za simu sio pension fund ambazo zinatakiwa na diversified investment portifolios zinazo mature kwa vipindi tofauti tofauti kulingana na expected commitment zao (retirement expenses).

Kama alikuwa na issue tangible ya kuhusu kodi labda inaweza kujadilika lakini kama ni blah blah za majengo basi mtupe kule huyo kilaza.
 
Zungu anaongea pumba, jaribu kufanya utafiti mkuu.

Kila sekta inataratibu zake, wewe jiulize kampuni za simu zijenge majengo kwa ajiri gani? Ni kama mabenki tu, umeshawahi kujiuliza kwa nini hayajengi majengo? Hata BoT kama regulator wakiona benki ina invest kwenye majengo lazima wakitilie shaka!!

Kampuni za simu sio pension fund ambazo zinatakiwa na diversified investment portifolios zinazo mature kwa vipindi tofauti tofauti kulingana na expected commitment zao (retirement expenses).

Kama alikuwa na issue tangible ya kuhusu kodi labda inaweza kujadilika lakini kama ni blah blah za majengo basi mtupe kule huyo kilaza.

Bro issue sio kujenga majengo,wewe ni Mtanzania kweli au ndio wale wanaotaka Dual Pass?,nini kisichoeleweka ambacho Zungu kazungumzia kwa kuonyesha tu moja ya mapungufu ya haya makampuni ni kama haya ya kutokumiliki japo JENGO ambalo kama ASSET yao ambalo linaweza kuwa ni makao ya OFISI YAO.Mbona ili li wazi MBONA TUNAKUWA WATUMWA SANA JAMANI,wamewakalilisha kwenye theories zao za paper kwamba MULTINATIONAL COMPANIES aziwekezi mbona AIBU sisi WATANZANIA.

Yaani MTANZANIA unadiliki kuoji VODAFONE AMA TIGO wakinunua JENGO bongo wakalifanya OFISI ama wakaweka huduma zao,unaona sio wajibu wao.Maana ya kuwa INVESTOR nini??.Au kwa kuwa yamekuja kutafuta PROFIT kwa hiyo mnaona nyie type hii kuwa hiyo ndio FAIR PLAY,kumbe mmevishwa USHAMBA wa KUAMINI kisa limesemwa na MZUNGU au MUHINDI [Dokta Lwetama anasema sloagan za world Bank] please think outside the box.

SHAME ON YOU ALL!!!!!!!!!!!!!! kuenvest vilevile ni kustawisha jamii,au ukiona vidawati vya millioni ishirini ndio unaona jamii imesaidiwa.
 
...Zungu kazungumzia kwa kuonyesha tu moja ya mapungufu ya haya makampuni ni kama haya ya kutokumiliki japo JENGO ambalo kama ASSET yao.....

Kwa bahati mbaya sijamsikiliza Mh Zungu wakati akichangia...lakini kama hoja yake ni makampuni ya simu kuwekeza kwenye majengo basi tuna shida kubwa sana nchi hii. Hivi hii minara yote tunayoiona imezagaa kama takataka, mpaka tumefikia hatua tunataka kutunga sheria ya kuwalazimisha kushare minara hiyo, amejenga nani? Ni 'investments'/assets za haya makampuni ya simu? Kujenga manara mmoja inagharimu shilingi ngapi? Yakijenga majengo yao, PPF, NSSF na wengine watampangisha nani majengo yao? Nadhani inabidi kuwa makini kidogo jinsi ya kujenga hoja!
 
Zungu ameongea aliyokuwa nayo moyoni mwake, akaona achangie. Hii ni changamoto kwa wabunge wengine wachangie. Kusema hajasema cha maana si sawa jamani. Kama unaona inakuuma ukae kimya kwa sababu kuna watanzania wengine siyo wenzetu wamesahau uzalendo kabisa kwa sababu ya vijisenti wanavyopata huko kwenye kampuni hizo. Aliyoyatamka yana maana kama kuna kitu ambacho unaona hakijakaa vizuri ni kusahihisha na kuongeza kuchangia. Haya makampuni yanatuibia kodi zetu.
 
Kwa mara ya kwanza toka namsikia Mheshimiwa Zungu leo kaongea kama Mzalendo,UNYAMBILISI makampuni ya simu yanayowatendea watanzania.
Anasema Taifa limekuwa SHAMBA LA BIBI,kwenye REVENUE WATCH.
Tanzania inapoteza TRIONI MOJA NA BILLIONI MIA TANO kutokana na Kodi inayopotea kupitia makampuni haya kukwepa kodi.

Ni wapi Makampuni haya yamekwisha invest hata kimajengo hapa nchini [I stand to be corrected]

Asante Zungu kwa maono hayo,kumbe wewe kichwa.ulikuwa wapi siku zote.Jamani naomba kumjua Zungu kwani sikuzote nilikua naona kama ni watu walewale wa kulala bungeni.

Halafu Mwisho akaunga hoja 100%
 
Kwa mara ya kwanza toka namsikia Mheshimiwa Zungu leo kaongea kama Mzalendo,UNYAMBILISI makampuni ya simu yanayowatendea watanzania.Anasema Taifa limekuwa SHAMBA LA BIBI,kwenye REVENUE WATCH.Tanzania inapoteza TRIONI MOJA NA BILLIONI MIA TANO kutokana na Kodi inayopotea kupitia makampuni haya kukwepa kodi.Ni wapi Makampuni haya yamekwisha invest hata kimajengo hapa nchini [I stand to be corrected]Asante Zungu kwa maono hayo,kumbe wewe kichwa.ulikuwa wapi siku zote.Jamani naomba kumjua Zungu kwani sikuzote nilikua naona kama ni watu walewale wa kulala bungeni.
ana asili ya uarabuni yule we lilia kumjua tu...
 
Halafu Mwisho akaunga hoja 100%

Tatizo la Zungu yeye kama mbunge wa Ilala hakufanya upembuzi yakinifu akaja na data zinazosomeka,alikuwa na muda wa kutosha kufanya fact finding,kwani makao ya makampuni yote yako hapa Dar labda Zantel,TRA , Ofisi ya mwanasheria mkuu,wizara ya mawasiliano na taasisi zake zote zipo hapa Dar.Lakini alilosema lina ukweli ndani yake linataka lifanyiwe kazi.Waziri wa fedha hajui wapi mapato ya serikali yanapotea anajifanya hana habari.Ukimia wa serikali unaweza ukatokana na watu maarufu wenye hisa ndani ya makampuni hayo na wenye mkono ndani ya serikali.
 
Siwezi kumsifu zungu kwa ako kawazo. Bora awaache wapinzani ndo wapige kelele ili tudhani wanataka mabadiliko. Ila uyu ambaye yupo siku zote?au kuna kampuni mpya imeanza kazi jana ndo kaona? Hana tofauti na mwenyekiti wake,naye ulalamika ivo,sasa sijui mtawala ni nani kama mwenyekiti analalama,zungu analia na kusaga meno,wapinzani wanapiga kelele. Sasa nani atoe msimamo? Mh.Zitto alisema airtel imekwapua kodi kama bil600 kwa kubadili jina ili ipate grace period. Nani amfunge paka kengele?? Tumewachoka.
 
hawa wabunge wangu wa ccm bana, mwisho mh supika naunga hoja uselesssssssss.............QUOTE]

Ndio kawaida ya wabunge wengi wa Magamba, na some from Upinzani. Lengo ni kutaka kusikika na makampuni ya simu kuwa anataka kuharibu, baadae wanaitwa pembeni na lobysts, wanakatiwa chao au kuahidiwa , utasikia jitu hilo hilo mwishoni linasema naunga hoja mia kwa mia, na kupiga yowe ndioooo au kugonga meza kama limepagawa...
Yanaudhi sana....
 
Anko Sam; Wabunge wa CCM wameota sugu mikononi kwa kupiga meza kwa nguvu kwa kuunga hoja kwa 100%. Kama mnabisha uje usalimiane nae kwa kushikana mikono uone!

Wabunge hao ndo wanao sababisha nchi yetu iwe SHAMBA la Marehemu BIBI!

Lazima mikono iote sugu. Mtu na akili zako unagonga meza hovyo pasipo kutafakari. Uzuri ni kwamba wanatupa picha kwamba ni watu kutojali maslahi ya wapiga kura wao. Na hilo litawagharimu. Endeleeeni kupiga meza.
 
Zantel,Airtel,Vodacom na Tigo hapa tanzania ni mgodi na wanavuna kweli kweli.Imefikia hatua Mtanzania anajinyima kula ili mradi apate hela ya vocha.Umasikini wetu kwa sehemu kubwa kwa sasa unachangiwa na haya makampuni kwani mbali na kutunyonya kwa kucharge gharama kubwa bado hawalipi stahili kama kodi kwa serikali.

Wanashirikiana na TRA kupunguza ama kupoteza kabisa mapato.Unakuta donation zao wanazotoa sana sana madawati tena milioni 30 kisha kwa maana ya kutokukatwa kodi huwa wanaflactuate hizo expenses at the end of the day corporate tax,i mean 30pct of the Net profit inakuwa ndogo hili ndilo pato la serikali.Mind u,donations sio kama depreciation hivyo hakuna ku-add back once wametoa kwa maendeleo ya jamaa.Pamoja na kutoa donations hizi,kwao haziwaumizi sana kwa sababu ni Zero rate tax.
 
Naona kwa ukwepaji wa kodi kampuni za simu zinaongoza!Na kuna watu wananufaika wakati serikali inapunjwa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom