Kukwepa kulipa ushuru/kodi kwa makampuni ya simu nchini. Hawawezi kulipa ushuru na kodi stahili kwa kuwa Bodi za Wakurugenzi wao ni vigogo kutoka kwa wanamagamba. Aidha, vigogo uwajuao wewe ndio wenye hisa kubwa katika makampuni hayo. kuna kina Ma-li-chela, Lo-wassa,M-sekwa, Riz-one, Ro-stam na mafisadi woote uwajuao wewe. Kwa hiyo, kukwepa kulipa ushuru/kodi kwa makampuni haya ni kwa sababu mafisadi ndio wenye hisa kubwa kwenye makampuni hayo.