Zumbukuku Mzungu wa Reli

Zumbukuku Mzungu wa Reli

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
12417648_549982505177057_2136176464244585247_n.jpg
 
'no signal'..dish litakuwa limeyumba
 
Amavubi , hii ndio imekufanya ubadili avatar yako? Unaweza kushangaa unanyang'anywa malapa yako barabarani.
 
Hahhahahaaaa

Amavubi anafahamika hapa jukwaani kwa avatar ya kandambili ziwe mpya, chakavu, ziko nje ya ATM au zimefungwa kwa kufuli la Solex.
Hivi karibuni amebadili Avatar ndio maana ikabidi nihoji, hiyo ni kutokana na kuona jamaa anazivua kandambili kama Samaki?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
You made my day Samaritan
 
Back
Top Bottom