zumas family tree

tena hata usiruhusu hayo mawazo yakunyemelee maana nitalikata na kuliroast kisha tutalitafuta wote coz lina belong to 2 of us.

Cheusi naona sasa unashusha heshima yangu yaani unataka kuroast jembe langu:angry::angry::angry::mad2::mad2::mad2:
 
Nyamayao bwana!!Unauliza wanini??kuosha rungu kwa nafasi huyo kapanda apolo au aero space unaita kiburudisho cha pili!!mwulize Finest anamajibu yako yote!

Halafu sijawahi kusikia wasauzi wakipiga kelele kuhusiana na Zuma kuoa wake wengi au Mswati kule Swaziland itabidi ISC tukichukua likizo twende Swaziland for vacation
 
Cheusi naona sasa unashusha heshima yangu yaani unataka kuroast jembe langu:angry::angry::angry::mad2::mad2::mad2:

samahani dear,nilijikuta nikiandika hayo sbb hasira kali zininijia ulipotaja swala la kuoa mke wa pili.
 
Hii kali,sijaona picha ya mtoto wake wa kiume?Una agenda gani kutuwekea hawa mabinti tu.
 
Ni heri ya Jacob Zuma,

Ambae yuko wazi kwa hilo ila hapa TZ viongozi wetu wengi nao wako hivyo hivyo ila katu hawato kuwa wazi mpaka wazikwe ndio utawatambua watoto ati me kwetu najivunia twajijua wote na ndio poa siku hizi twakutana na kusalimiana
 
Kampeni za majitaka zilikaribia kuleta 'tree' kama ya Zuma Bongo! Zuma ni muwazi wengine ukute wanamzidi ila si wawazi.
 
Wadau unajua Zuma anatimiza maneno ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo P. Botha ambaye alisema kuwa A BLACK MAN KNOWS NOTHING EXCEPT MAKING NOISE, DANCING AND MARRYING MANY WOMEN.
 
Ha ha haaa! Mimi nawashangaa sana, Jacob Zuma ana-practice ile maana halisi ya jina lake.. see here
J=Just
A=Another
C=Creator
O=Of
B=Babies_with

Z=Zero
U=Understanding_of
M=Marriege_and
A=AIDS
.........Ha ha haaaa! wadau mpo hapo....!!
 
Hii inatia fola wajameni. Watanzania msiige tabia ya namna hii. Haipendezi hata kidogo.
 
Mimi namsifu sana zuma kwa ya fuatayo
1. Anatimiza mila za kwao bila uoga au aibu au kufuta mila za wazungu kama wengi wetu tunavyofuata eti mke mmoja.
2. Anatimiza maandiko matakatifu yasemayo 'ee nendeni mkaijaze dunia' sasa utajaza dunia kwa kutaka watoto wawili kama wazungu eti ustaarabu, wakati mnasoma biblia kwa wakristu
3. Anadhamini sana wanawake maana kwa hesabu wanawake ni wengi kuliko wanaume, hivi nyie wanawake wenye wivu mnataka wanawake wengine wabaki bila waume, mbona mnakuwa wabinafsi. hongera zuma kwa kujali wanawake
4. Anatangaza wanawake na watoto wale alionao bila kuficha hivyo ni JASIRI ndo maana wanawake wanampenda.
5. Anawapa haki sawa watoto wake wote maana yeye ndiye baba yao akificha watoto wale wanakuwa hajawatendea haki hata kwa mungu anakuwa na dhambi.
6. Anatoa challenge kwa wanaume na viongozi mbali mbali africa wawatendee haki wanawake waliozaa nao na watoto wambao wametelekezwa kwa ajili ya kuwafurahisha walimwengu utafikiri walilazimishwa kuwa nao nje ya ndoa au kabla ya ndoa

HONGERA SANA ZUMA achana na watu wengine wa Afrika walio wanafiki, maana nasema asilimia 98% ya wanaume wa afrika wana wanawake wengine mbali na wake zao sijui asilimia ngapi wanawatoto wanao waficha mbele ya public.
Hali asilimia 70 ya wanawake wa afrika wana wanaume zaidi ya mmoja au wawili.
 
umeongea kweli kabisa

Watoto wasipendane kwanini, wanapendani ni nyinyi tu na fikra potofu, wanashida gani kupendana, bora mngesema wanawake labda kwa sababu ya kuona mwingine anapendwa zaidi au vinginevyo.
hongera Zuma
 
Sasa mie nataka nikuoe uwe Cheusimangala uwe no.1, GS awe no.2, Nyamayao awe no.3, FirstLady1 akamate no. 4 halafu outdoors a.k.a (girl friend) ata_play Maria Roza naSmiles. Ili ku-complete the need full tayari nina mtoto mmoja wa nje named Boflo. What a family

Nauliza mtapigaaaana? au mta show lov!



Tafadhari sana First Lady ni wangu, usimguse kabisa tutakosana
 
Ha ha haaa! Mimi nawashangaa sana, Jacob Zuma ana-practice ile maana halisi ya jina lake.. see here
J=Just
A=Another
C=Creator
O=Of
B=Babies_with

Z=Zero
U=Understanding_of
M=Marriege_and
A=AIDS
.........Ha ha haaaa! wadau mpo hapo....!!

i love this
 
Back
Top Bottom