zumas family tree | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

zumas family tree

Discussion in 'Jamii Photos' started by cheusimangala, Sep 30, 2010.

 1. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  huyu baba nashindwa kummaliza.
  [​IMG]
   
 2. L

  Lady JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2010
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 280
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mmh! Zuma anatisha!
   
 3. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  hii kweli kali, huyo Gugu cjui nimemuona kwenye tamthilia gani jamani KBC.
   
 4. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  sidhani kama hata ana furaha maana nahisi kila siku anasikia maugomvi ya hao wake zake,na ana kazi ya ziada ya kufanya watoto wake wote wapendane pasi kubaguana.
   
 5. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  hata tukisema mila zao zinaruhusu but kwa dunia ya leo hizo mila zinatakiwa zivunjwe jamani, wanawake wote hao wa nini?
   
 6. r

  ral Senior Member

  #6
  Sep 30, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Yuko kwenye isidingo the need
   
 7. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Safi sana mkulu Nzuma,
  Namsifu huyu Zuma aliyeweza kuandaa hii family tree yake. Awali ya yote watoto wake wote wawe wa nje ya ndoa na wale wa ndoa anaweka public tu. Hii inasaidia sana jamii kutokuwa na doubt za hapa na pale kuhusu kiongozi wao. Hii style ingekuja hata hapa Tz ili viongozi wetu wakuu watupe ile family tree yao. Na kama wakioa baasi iwe wazi na si kupata taarifa kupitia radio mbao. Hii inasaidia sana ili kufahamu taifa lina majukumu gani kwa kutunza rais na dependants wake. Eti utasikia mara mtu kaoa, mara kao tena mara kazaa, mara vile. Ya nini yote hayo? Wekeni mambo hadharani. After all imani zenu zinawaruhusu.
   
 8. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #8
  Sep 30, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ni kweli ila mie nawashangaa zaidi hao wanawake wanaokubali kuolewa naye,over my dead body,sitaruhusu kushare mume maishani bora niwe single forever.
   
 9. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  ile haikuwa isidingo, kumbe yupo na huko pia.
   
 10. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #10
  Sep 30, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0


  halafu mzee kama huyo ana wake bado anaendelea kuwa na fiancee, galfrnd..wife no 5 haku deserve kabisa kuolewa na huyu mzee ndio mana wana cheat.
   
 11. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Jamani mwenzenu sioni hiyo picha.
   
 12. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #12
  Sep 30, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135

  Hebu tufafanulie kidogo hapa kwani dunia ya leo ina nini?
   
 13. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #13
  Sep 30, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  huyu ni mjinga, anawaaibisha wa south africa na waafrica ka ujumla.
   
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  Sep 30, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Huyu akija kwenye chama chetu tunampa nafasi ya CHAIRMAN OF BOARD OF DIRECTORS
   
 15. Wun

  Wun JF-Expert Member

  #15
  Sep 30, 2010
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 353
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mjinga wewe go zuma
   
 16. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #16
  Sep 30, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Cheusi nakuhaidi over my dead body sitaoa mke wa pili it will be only you and i really mean yaani only you mpaka hapo kifo kitakapotutenganisha
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  Sep 30, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Dah huyo Gugu ngoja nifanye logistics za kupata contacts zake anafaa sana
   
 18. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #18
  Sep 30, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  hamna shida,Rev masa yuko wapi atufungishe ndoa.
  nami nitakua muaminifu kwako hadi kifo kitutenganisha coz najua kitatutenganisha baada ya miezi sita na ww ndo utatangulia lkn ucjali nitaendeleza vizuri mali zako zote nitakazorithi
   
 19. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #19
  Sep 30, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Cheusi hao watoto hawawezi kupendana labda upendo wa kugundisha na gundi,tusishangae tukasikia tena anatangaza harusi na bado infidelity kama kawa!!!He needs grace
   
 20. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #20
  Sep 30, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  mama!!!mama!!mama!!weeeeee!!!!..
   
Loading...