Zuma hits back at UK media reports | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zuma hits back at UK media reports

Discussion in 'International Forum' started by ByaseL, Mar 5, 2010.

 1. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,223
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  President Jacob Zuma hit back at Britain's media on Wednesday, saying disparaging commentary on his polygamous private life reflected an inbuilt superiority complex.

  Zuma, who is paying a state visit to London, has been greeted by headlines in Britain's famously spiky press labelling him a "buffoon" and focusing on the husband-of-three's domestic arrangements.

  In an interview with the Star, Zuma said that the coverage was disrespectful of his Zulu culture and echoed the views of South Africa's former colonial masters.

  "When the British came to our country they said everything we are doing was barbaric, was wrong, inferior in whatever way ... I don't know why they are continuing thinking that their culture is more superior than others," he said.

  Zuma said that the African National Congress (ANC) had fought against the apartheid regime so that the indigenous population of South Africa would be respected.

  "Bear in mind that I am a freedom fighter and I fought to free myself, also for my culture to be respected," he said. "I've not looked down upon any culture of anyone ... and no one has been given an authority to judge others."

  Colourful private life
  Much of the coverage of Zuma's visit has focused on his colourful private life. Zuma married his latest wife in January, shortly before it emerged that he had fathered a love child with the daughter of a family friend.

  An opinion piece in the right-wing Daily Mail said, "Jacob Zuma is a sex-obsessed bigot ... So why is Britain fawning over this buffoon."

  The Daily Telegraph said that "for all the colourful characters who have visited the Palace during her 58 years on the throne, the South African president is possibly the first guest to be a polygamist".
   
 2. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 135
  such a stupid excuse. It seems that all sex maniacs have similar excuse. I wonder whether to him freedom fighting meant the right to sire as many kids as he wanted, and bedding as many women as he wants. That is crazy,
   
 3. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,632
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Mbona hawamshambulii Mswati ambae anaoa kila mwaka kufuatana na utamaduni wao!! Zuma ana wake watatu tu na nyumba ndogo moja basi.
   
 4. kebepa

  kebepa Senior Member

  #4
  Mar 5, 2010
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 134
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  A man is polygamous in nature!!..restricting people to monogamous marriage is unnatural, and I doubt whether is Godly as some religion puts it. however I will agree when people talk of economic constraints as an important reason to monogamous marriages. Why is a man capable of producing multimillion sperms and a woman few eggs and has menopouse? Lets not romanticise the western ideologies ( supported by christianity) that men have to have only one wife. Many of us a product of polygamous marriage and to a 4th or 5th wife, suppose our fathers were restricted to marry one wife..could we say anything now?...huo ni ushabiki wa mila na tamaduni za kuletwa kwa ndege au meli..
   
 5. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Nafikiri Zuma angekuwa Tanzania ,tusingemchagua.
  Huwezi kuwa na sex maniac president.Eti ni utamaduni ????
   
 6. kebepa

  kebepa Senior Member

  #6
  Mar 5, 2010
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 134
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sex maniac maana yake nini? kuoa wake wengi sio kitu kigeni katika tamaduni zetu za kiafrika..acheni ushabiki wa tamaduni za watu wengine.Embrace your culture!Nani kakuambia kuwa anashindwa kuongoza nchi akiwa na wake wengi?
   
 7. B

  Bull JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2010
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongera Zuma kwa kuendeleza tamaduni za kiafrika, wanashangaa polygamy na wakati wao wazungu wanashabikia ushoga!!

  wasitupangie vitu vya kufanya na wala wao tamaduni zao sio bora kuliko zetu, wale wachache walio brainwashed na wazungu ndio watampinga Zuma, wao kwao kila kinachofanywa na mzungu ni sawa kinacho fanywa na waafrika ni mambo ya kale. Hongera Zuma!!
   
 8. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 135
  Tabia ya Zuma ni chafu, hakuna excuse. Kama unadai ni utamaduni basi ni utamaduni ulipitwa na wakati, wanawake wanahitaji dignity wasitendewe kama fucking machines. Sex maniac ni mtu mwenye kupenda ngono kupita kiasi na u maniac wake unakuwa manifested kwenye vitendo vyake. Huwezi kujustify akili ya Zuma ya kuwa na watoto 20, there is no way ukatake care kwa watoto wote hao na wake wote hao, hata uwe tajiri kiasi gani (you can materially but not otherwise). You can not justfy kutembea na mtoto wa rafiki yako mwenye umri chini ya nusu ya miaka yako, huwezi kutembea na msichana aliye chini ya umri wa mtoto wako tena unajua kabisa ana virusi na ukasema ulioga kwa hiyo huwezi kupata virusi.

  Mkuu huu ndio utamaduni wa mwafrika?

  Ingawa sikubaliani na polygamy, naweza kuielewa kuirahisi ile inayoelezewa kwenye Qoran, maana ina msingi na reasons, ya Zuma type ni ufuska tu pure and simple. NI tabia yake, sio utamaduni wa waafrika. Mbona kuna sexmanics wengi tu hata huko Ulaya? Juzi tu tumesikia John Terry na vimwana 10+...naye amelaumiwa na kulaaniwa, alikaa kimya hakutumia excuse ya kuwa ni utamaduni wao
   
 9. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0

  Kebepa kwa dunia ya sasa,na ukimwi huu,hatutafika.Zuma ni sex maniac,kwa sababu pamoja na kuwa na hao wake zake,bado alipiga nje,na kuzaa nje.
  Huwezi kulala ovyo ovyo na wanawake
   
 10. M

  M-Joka JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2010
  Joined: Dec 13, 2007
  Messages: 308
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Eee Bongolander, get it into your head!!! it is his culture, the culture of the Zulu people, do you understand??. Your culture, your thinking, keep them for yourself, but polygamy is part of his culture. It does not matter if in your eyes it is good or bad, you accept it or reject it, it is his culture, if he respects you, then yuo must also respect him, au umeshaambukizwa ushenzi na utovu wa adabu na wazungu kiasi cha kutojua namna ya kuanza kum-badilisha mtu sembuse watu na imani zao???

  Respect is the first thing, role modelling can be second, patience can be allround and forever, success can be long time in waiting, afterall what is your proof that your culture is better than someone-else's culture. Are you betting on Western culture??? oooh, then you think crap!!!

  If the British were good role model, how many years, decades, centuries did they colonize the South African people including the Zulus??? Was'nt that the opportunity to systematically change them for the better??? All that is in their vocabulary is to divide people and rule them. Oppresion, discrimination, racism and exploitation. Their culture is filthy and worse than Zulus.

  Je, umewahi kumsikia Mandela akiponda kuhusu hilo?? au hata mpinzani wake aliyemwangusha madarakani Thabo Mbeki hatumii hiyo issus kama silaha ya kisiasa (political arsenal) za kumkejeli. Hii ni kwa kuwa polygamist kule is not a weakness, na kama ingekuwa weakness basi Thabo Mbeki angesharudishwa Madarakani,

  Kwani ndugu zetu wamakonde machale wanapendeza??? lakini je hatuna budi kuwaheshimu??? Kwani ndugu zetu Wakurya (au sijui kabila gani kule Mara) sio polygamist? je tusiwaheshimu??? Tulimpenda sana Waziri mkuu wetu wa zamani hayati Edward Sokoine, je aliacha vizuka wangapi??.

  Culture, culture, culture Bongolander, ni sehemu ya imani yao. Na wewe heshima na adabu zetu usiziharibie jina, watu hawabadilishwi kwa matusi!!! ushike adabu yako, na adabu ikushike.
   
 11. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0

  Unaweza kuwa polygamist,sawa!Lakini kuendelea kulala ovyo na wanawake wengine nje ya ndoa,kumbuka tayari una watoto zaidi ya 20 !!!!!
  Sokoine hata kama alikuwa polygamist,hakuwa analala ovyo na wawake nje ya hao wake zake.

  Kumbuka RSA,inaongoza kuwa na RAPE zaidi ya nchi nyingine.Ni macho society.
  Tusije tukaharalisha tabia hii,eti kwa kuwa ni utamaduni.RSA ina many problems,haiitaji Rais kufikilia sex kila siku.sure ikiwa na nanwanawake kiasi hicho ina maana kila siku utakuwa unapanga kulala na mwanamke na kufikiria watoto wako 20 wanafanyaje !
   
 12. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,971
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 0
  And when it comes to gays and lesbian issues they say we should respect human rights. Why do the look the coin in one side. Nchi nyingine zinanyimwa misaaada zikiweka sheria ya anti gay.
   
 13. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #13
  Mar 10, 2010
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,375
  Likes Received: 1,519
  Trophy Points: 280
  Xuma aliniacha hoi baada ya kutembea na msichana anayesadikika kuwa na ukimwi.
  Xuma walipomhoji akasema ni kweli alilala naye, ila yeye Xuma hana ukimwi maana baada ya kufanya ngono maramoja alikimbia kwenda kuosha na maji sehem zake za siri.

  Ya kwamba theory ya Xuma n kuwa eti ukiosha haraharaka sehemu za siri baada ya ngono eti huwezi pata ukimwi.
   
 14. Spear

  Spear JF-Expert Member

  #14
  Mar 10, 2010
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  When the British came to our country they said everything we are doing was barbaric, was wrong, inferior in whatever way ... I don't know why they are continuing thinking that their culture is more superior than others," he said Wenzenu TZ wanamtizamo tafauti na nyinyi Mr Zuma inapokuja British na USA.
   
 15. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #15
  Mar 10, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 135
  Mkuu nakupata kabisa. Kushika adabu yangu kwanza ni kupinga polygamy, na adabu yangu kunishika ni kutomuunga mkono Zuma. So far sijaona wisdom yoyote ya polygamy zaidi ya patriarchal tendency ya baadhi ya watu. Kuna watu wanaona kuwa uanaume ni kuwalala wanawake as many as possible, na wengine wanaona kuwafanya wanaume wazae watoto wengi as possible huo ndio uanaume.

  KUna wengine, wanaendelea kuwa adolcent hata wanapokuwa adults, senior adults, kutokana na mazingira waliokua nayo. Kama kweli waafrika kusini wanautamaduni wa Zuma basi ni taifa lililooza.

  Mandela kutopinga tabia ya Zuma hakumaanishi kuwa ni tabia nzuri. Kiongozi mmoja kuwa na wake wengi sio ishara ya kusema hiyo ni tabia nzuri.

  Still polygamy ni ishara ya primitiveness ya mtu. Kama mtu unaipenda kwa weakness zako binafsi sio justification ya kuifanya iwe morally right kwa wote.
   
 16. N

  Nanu JF-Expert Member

  #16
  Mar 10, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  How many wives does JK has? How many does Mwinyi has?
  They are much more than what you think, the only thing we are not following up as their religion allows them up to 4 wives. However, Zuma is not a muslim neither a Christian!!!
   
 17. N

  Nanu JF-Expert Member

  #17
  Mar 10, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  You people don't myopic, how many wives does a Muslim marries and no objection? How many wives is a Zulu allowed to marry as per their customs? Just open up your mind and use your brain instead of your feelings to judge!!
   
 18. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #18
  Mar 10, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 135
  Mkuu i am not myopic. How many muslim men capable of marrying four wives do we have in Tanzania? Do they have four wives each? Do they have 20+ children, sleeping with daughters of friends, siring basterds, sleeping with HIV positive women and say "i took shower to minimize the risk of infection"

  Qoran, hairuhusu kuoa kiholela ina eleza katika mazingira maalum unaweza kuoa second, third and forth wife. L:akini ni wachache sana wenye kutimiza masharti hayo, ndio maana si waislamu wote wana multiple wives.

  Do you know that not all muslims condone this paractice of Islam? So it is not personal feelings, just a principle of human dignity,and women happens to be human just like Zuma. I wonder wht will happen if his new wife brings him 4 men.
   
 19. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #19
  Mar 10, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0

  Zuma angekuwa nchi yoyote ya Afrika ,watu wasingejua haya.Uzuri wa RSA ,kuna free media !Tabloids zitaandika tu.Tanzania tunacatch up.
  Nafikiri sijui gazeti gani lina ubavu wa kuandika vimada wa kiongozi fulani!
  liNAWEZA KUFUNGIWA!

  Kuna mwaka mmoja Dodoma ,Askofu wa KKKT alikuwa anajulikana anatembea na staff wake,ambaye ilibidi mumewe aachie ndoa yake.Hakuna hata mtu mmoja aliandika habari hizi.
   
 20. Elusive

  Elusive JF-Expert Member

  #20
  Mar 10, 2010
  Joined: Nov 26, 2008
  Messages: 223
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Many African cultures allow polygamy, it is not a bad thing provided he is able to support his extended family of three wives and several children.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...