Zuku Tanzania wana 'HD' Decoder ?

Zuku Tanzania wana 'HD' Decoder ?

Zuku ni full HD kama inavyoonekana hapo![emoji116]
 

Attachments

  • IMG_20170725_192040_287.jpg
    IMG_20170725_192040_287.jpg
    32.7 KB · Views: 69
Kama unataka mawazo njoo Huku ZUKU.

Tombatomba idevice Model TH 45
 
StarTimes hawajanifurahisha kwenye Action Movies za kiamerica/kizungu. Wamejaza movies za China na India.

Niliona ile channel ya AMC.. nikadhania ndiyo ile ya movies za kimarekani, kumbe sio. Ni AMC films za kinaigeria.. shiiit!

-Kaveli-
 
Kama unataka mawazo njoo Huku ZUKU.

Tombatomba idevice Model TH 45


Mkuu, vipi Zuku wana action movies za maana? Nasikia wana 'zuku action' na 'zuku max'... zipoje, movies zao ni action kweli? ni latest?

Nimechukua startimes juzi, ila hawajanifurahisha kwenye Action Movies. Wana action za ajabu ajabu tu... Chinese, za kihindi, na mifilamu ya kinaigeria.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom