ZUKU Satelite TV

ZUKU Satelite TV

Mtanzania

Platinum Member
Joined
May 4, 2006
Posts
4,830
Reaction score
749
Wadau,
Naomba kwa ambaye ana uzoefu na hawa ZUKU Satelite TV, je wana ubora kiasi gani?

Je huduma zao zinafaa? Je kwa TZ mikoani wanapatikana? Kwa mfano mkoa wa Mbeya.

Kama umejiunga nao tafadhali tunaomba tusaidia experience yako na hawa jamaa ukilinganisha na kampuni kama DSTV.

Kama ni mfanyakazi wao pia tusaidie kujua mnategemea hasa customers wa aina gani?

Mimi nataka kuwatumia kwa ajili ya TV kwenye vyumba vya hoteli.

Mtanzania
 
Hawa jamaa wapo vizuri sana tatizo lao ni mpira tu hawaonyeshi ligi ya uk wala uefa pia bei yao ni chip sana .bei ya dish la zuku pamoja na mwezi mmoja bure ni 96000 tu .zuku inapatika afrika mashariki yote
 
Zuku wako vizuri sana kuanzia huduma mpaka quality ya picha za vipindi mbali mbali
 
Back
Top Bottom