Zuio la ajira mpya liliwalenga watumishi wa kada ipi?

Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,898
11,745
Utumishi wa umma walitoa taarifa ya zuio la ajira mpya kwa watumishi wa umma pamoja na upandishaji wa vyeo kwa watumishi wa umma kupisha uhakiki na kuondoa watumishi hewa kwenye mfumo wa malipo, lakini tumeshuhudia rais akiteua wakuu wa wilaya pamoja na kuwapandisha vyeo wakurugenzi kuwa wakuu wa wilaya,
Leo pia kuna taarifa humu utumishi wameteua makatibu tawala wa wilaya wengi wakiwa wapya wanaoingia kwenye utumishi wa umma sasa najiuliza lile zuio la ajira liliwalenga watumishi wa kada ipi?
 
Kama hukupiga domo kwenye kampeni zetu subiri kidogo, ila kwasasa isomeni namba kimtindo.
 
Hahahaha mie acha niangalie tu maana sielewi kabisa... na nikisema nifatilie ni kujichosha zaid...
 
Mkuu utaumiza kichwa bure ukiifuatilia hii serikali. Subiri uone watakao hukumiwa kwenye hizo mahakama za mafisadi, ndio utazidi kushangaa....................!!!!!!!!!!!!!
Wale wezi wenyewe wataachwa wanapeta.
 
  • Thanks
Reactions: ydn
Vijana wa UVCCM na baadhi ya makada walikua wanapiga kelele sana kwa kuachwa U-DC sasa nadhani wametulizwa.
 
Back
Top Bottom