Huyu Zuchu tangu siku ya kwanza anatambulishwa WCB amekuwa ni Artists wa kupambanishwa na Artists wenzake tu Leo utasikia Nandy, Kesho Lady jay dee, Keshokutwa Ruby unajiuliza ni kwanini? Kila siku apambanishwe Yeye tu kwanini msipambanishe Nandy na Mini Mars or Ruby na Maua sama au Gigi Money na Dayna kila siku Zuchu Zuchu Zuchu Zuchu kama Zuchu kuimba hajui kwanini kila muda mnamfungulia nyuzi za kumpambanisha si muwapambanishe hao wanaojua kuliko yeye.