diamond na zuchu

Naseeb Abdul Juma Issack (born October 2, 1989), professionally known as Diamond Platnumz, is a Tanzanian bongo flava recording artist, dancer, philanthropist and businessman. He is the founder and CEO of WCB Wasafi Record Label, Wasafi Bet and Wasafi Media. Diamond has gained a massive following in East and Central Africa. He became the first Africa-based artist to reach 900 million views on YouTube.
After signing a record deal with Universal Music in 2017, Platnumz released his third studio album, A Boy from Tandale (2018).
In 2021, Diamond together with his record label WCB Wasafi entered into a 360 Partnership with Warner Music Group.

View More On Wikipedia.org
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Zawadi kwa Diamond na Zuchu ni utakatishaji fedha. Serikali ipo kimya

    Tungekuwa na Taasisi imara za kupambana na Uhujumu Uchumi na Utakatishaji fedha, basi Diamond na Mke wake wangekuwa washahojiwa. Japo waelezee waloleta hela wana uhusiano gani. Wasanii wa bongo wanashiriki kutakatisha fedha.. Kwenye Kitchen party, Harusi(zinazovunjika baada miezi kadhaa)...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ndani ya Saa 48 Mtoto Wa Diamond Na Zuchu Achangiwa Mamilioni Ya Pesa Kuzidi Walizopata CHADEMA kwa karibu Mwezi Mzima

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika kinachoendelea ndani ya CHADEMA ni aibu ,ni fedheha na Simanzi kubwa sana na masikitiko . Yaani hiki Chama kimejipatia Aibu ya karne ,aibu ambayo haijapata kutokea ,aibu ambayo haisemekani wala kupimika kwa kipimo cha aina yoyote ile. Kweli wana CHADEMA...
  3. PAYE

    JamiiForums Tanzania Zuchu na Diamond wapata mtoto wa Kike

    Msanii wa Tanzania, Diamond Platnumz na Mkewe Zuchu wamethibitisha ujio wa Mtoto wao baada ya Diamond kuchapisha picha ya kuwa Zuchu amejifungua salama. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Diamond ameandika "Welcome to the world, our precious little angel. You are already loved more than words...
  4. PAYE

    JamiiForums Tanzania Zuchu atoa onyo Simu za usiku kwa mumewe

    Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Zuchu, ametoa onyo kali kuhusu kile kinachodaiwa kuwa ni simu za usiku wa manane zinazopigwa kwa mumewe Diamond Platnumz. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Zuchu ameandika, "I just don’t understand why someone would call a married man usiku wa manane...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz amuoa Zuchu. Ni mpango wa kuuzima moto wa Askofu Gwajima?

    Wakuu Huu mbona kama ni mkakati hivi wa kutaka kututoa kwenye Reli? Msanii wa Bongo Fleva, Nadeem Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platnumz amemuoa mpenzi wake wa muda mrefu Zuhura Othman Soud maarufu Zuchu. Msanii wa lebo yake WCB Wasafi. Ndoa hiyo imeibuka katikati mjadala mkali baada ya...
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Diamond kafa kaoza kwa Zuchu. Amwambia 'Sijawahi kupenda kama ninavyokupenda' kwenye ujumbe wa Valentine

    Wakuu, Kwa ujumbe tutegemee kuwa na harusi ya taifa hivi karibuni. Diamond kafa kaoza kwa Zuchu, huu hapa ujumbe wake kwa mpenzi wake katika siku hii ya Wapendanao
Back
Top Bottom