Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,505
- 14,795
Zuchu ameachia ngoma yake ambayo amemshirikisha msanii kutoka Nigeria JOEBOY ngoma inaitwa NOBODY humo ndani zimechanganywa lugha mbili kiingereza na kiswahili
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Joey kapooza mno kwenye huo mziki
Mzee naona dunia imekutupia nje hapo no hela huyo msanii alivyokuja hapa bongo akasema anataka kufanya kazi na diamond na ZuchuMalipo madogo au kazi ya kishikaji kama kuunga juhudi za binti tuu
Carolin-e Ni kutokana na wimbo wenyeweJoey kapooza mno kwenye huo mziki
Mzee naona dunia imekutupia nje hapo no hela huyo msanii alivyokuja hapa bongo akasema anataka kufanya kazi na diamond na Zuchu
Sasa kwanini unasema amelipwa na Zuchu?Sisi ndio tuliomlipa pesa