PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 354
- 395
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Zuchu, ametoa onyo kali kuhusu kile kinachodaiwa kuwa ni simu za usiku wa manane zinazopigwa kwa mumewe Diamond Platnumz.
Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Zuchu ameandika, "I just don’t understand why someone would call a married man usiku wa manane like very late in the night. Don’t you know he has a wife????" ("Sielewi kwa nini mtu anampigia mwanaume aliyeoa usiku wa manane yani usiku sana. Hujui kwamba ana mke??")
Zuchu ameendelea na kusema kuwa kama unajijua jina lako linaanziwa na herufi "A", acha kumpigia mume wake.