zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
hodi hodi hodi mchana mchana....namtafuta namtafuta namtafuta namtafuta mtu fulani...embu otea..
H . 0. E
Hi !
Jana nilikuota ujue!
wanitafuta mie
You must be kidding....
Judgment
Hi........
Whaat !
Kiddin' ?
Mmmh!
kuniota.....
Its unbelievable J
what where we doing..
Tulikua tunakunywa juice!
mh kunywa juice basi....
au we uliikatiza hii ndoto hii!!!!!1
We mchawi nini ! Radi ya maana iliachia kishindo nikaamka!
Na my ndoto kwishney !
lawama zote ziiendee hiyo radi....
kufanya ndoto yetu ikatikie kati kati
Nipo mbona? njoo PM basi
Sijui nimuone mwanasheria wangu !
Due a certain inconveniencey !