Kwa ushahidi kama huu wa plate number hao vibaka wangekuwa mfano. Police wawashughulikie
Kwa move inavoonekana, n kama jamaa aliwakamata wezi. Pikipiki ilkua unstable
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio haohao wezi sasa aombe asiingie mikononi mwangu atajuta maana kufa hata kufa ila chamoto atakionaHaha mkuu mbona umeichukulia hili personal!! Linagusa maslahi binafsi nini?
Sent using Unknown device
Hii ilikuwa akting kama.
Ndio haohao wezi sasa aombe asiingie mikononi mwangu atajuta maana kufa hata kufa ila chamoto atakiona
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ningekuwa gerezani muda huu?
ndio maana siongeagi na simu zaidi ya kutuma sms
sawa
Pumbavu hawa ndio wanaongeza idadi ya wakosa furaha nchini mwetu, huyo jamaa hapo hawezi kuwa na furaha kabisa,
Mm pia nimewaza hivyoHii picha wamepiga kwa kuigiza halafu hawajaipatia hata kidogo! Ni mbumbumbu atakayeamini hili ni tukio la wizi. Kwa kifupi hawajui ku-act kama watu wa Bongo Movies!
Halafu inakuwaga kama kamchezo fulani ka kuigiza.
Juzi nimewashuhudia live aisee kuna jamaa anadrive kwenye foleni kashika simu anachati huku vioo kashusha huwezi amini sijui alitokea wapi yule kijana maana alivyoinyakua tu mwenzie yupo na pikipiki pembeni akakimbia kisha akapanda na kuishia zao.
Niliumia utadhani nimeibiwa mie.

Kwa nini umebadili ID?unatusumbua fans wakoNipo mkuu wangu!
Ngoja nije PM nikwambie sababu mkuu wanguKwa nini umebadili ID?unatusumbua fans wako