Zubaa ulizwe... Stori Katika picha

Hakuwafikia kweli?
Watanzania bwana! Tuna shida sana. Hatutaki hata kidogo kushughulisha akili zetu. Kweli umeamini hili ni tukio la wizi hili? Mwizi anaichukua simu kama mtu anayepewa simu na mama mkwe wake? Kibaka wa simu anavyonyakuwa simu wakati wa uporaji unafikiri picha itatoka namna hiyo?
 
Hahaa Jamaa alichomoka kama usain,na dereva inaonekana alipoteza balance kidogo
 
Hahaa Jamaa alichomoka kama usain,na dereva inaonekana alipoteza balance kidogo
 
Labda watetezi uchwara mkuu.. Kitaani hawa wanatiwa moto vizuri tu
Wakati akatwa kidole atatokea mtu na kusema wanaonewa.Wakati huyo mwamba anachoma hiyo piki piki na hao watu wawili watakuja watu wanasema ni mauji ya kutisha.Wengi wamechomwa kwa dhihaka kama hizo ni muda tu hapo unahesabika.

Sent using Unknown device
 
Hahaha aisee.. Ndio maana nakuwaga makini sana nikikaa dirishani.. Sikaagi kiboya kabisa
Sent using Unknown device
 

Raia na huu ugumu wa maisha.. Wasidakwe tu
Hii imenikumbusha migomigo mwaka Fulani kwenye foleni jamaa kapiga kishoka kumbe kuna jamaa wameipenda saa yake...jamaa alistuka kama kachomwa na kitu hivi kumbe aligusishwa sigara ile anarusha mkono saa ikakwapuliwa zamanii..

Sent using Unknown device
 
haimaanishi kwamba haya matukio hamna... Ninawafahamu watu kadhaa.. Wahanga hasa wakiwa wanawake
Hii picha wamepiga kwa kuigiza halafu hawajaipatia hata kidogo! Ni mbumbumbu atakayeamini hili ni tukio la wizi. Kwa kifupi hawajui ku-act kama watu wa Bongo Movies!

Sent using Unknown device
 
ilishanitokea mara 2
mara ya kwanza simu,mara ya pili pochi

Sent using Unknown device
 
ilishanitokea mara 2
mara ya kwanza simu,mara ya pili pochi

Sent using Unknown device
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…