zte modem unlock k3565-z

the kapex

Member
Feb 4, 2011
35
2
Jamani ukweli ni kwamba kupitia jukwaa hili mambo mengi yanajibiwa kitaalam tatizo langu ni hili nina modem ya voda hiyo niliyoitaja hapo juu nilikuwa nikijalibu kui-unlock kwa kutumia dc-unlocker lakini nilipomaliza ikanilazimu kui-uninstall nilipokuwa nikijaribu kuiweka ikawa haionekani kabisa haiji-install yenyewe kama hapo mwanzo sasa sijui nifanyeje make haionekani tena ni matumaini yangu mtanisaidia
 
Mkuu mbona hii post yako na ile nyingine maudhui ni yale yale, rudi kwenye ile post yako, kuna ushauri umetolewa au gonga hapa https://www.jamiiforums.com/technology-and-science-forum/112627-ku-restore-modem.html
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom