Zte Android haina Restart

Zte Android haina Restart

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Sim yangu aina ya zte Kiss iii Max pindi nnapo press power button haina part ya restart.

Je kuna lolote naweza fanya ili iwepo hyo part?
 
si simu zote zina hio feature, ukibadili rom unaweza kuirudisha
 
Kwahvo rom ya hii huenda ni ndogo??
 
Sawa mkuu nimeelewa ila shida nyingne ni over heating na mara nying ni baada ya kuingia mtandaoni na huwa ina nialet kuwa iko over heating nitoe betri hii ni kero wengne wanasema ninunue battery nyingne itakuwa cool hii ipoje?? Maana nna ile cooler toka playstore ila ni hamna kitu bado shida
 
kitu kinachoheat ni soc hata ubadili battery ni bure, ni simu gani? na joto ni kali kiasi gani?
 
Simu ni Zte kiss iii Max android joto huwa ni kali sana inachemka had nahis yataka explode nimenunua miez mitatu iliyopita 195000 na ina kava ambalo ni power bank
 
Nilinunua tigoshop na pia ktk specification mtandaoni ZTE KISS 3 MAX inaonesha kuwa internal ni 4 hum naiona 2, ambayo ni kama 1.27 hv sielew
 
Update hiyo simu, watakuwa tayari wame rekebisha hilo tatizo. Mi mwenyewe natumia zte nubia z9 ilikuwa na insue kama hiyo baada ya ku update tatizo limeondoka.
 
Nilinunua tigoshop na pia ktk specification mtandaoni ZTE KISS 3 MAX inaonesha kuwa internal ni 4 hum naiona 2, ambayo ni kama 1.27 hv sielew

simu ukitajiwa ina internal storage kiasi fulani haimaanishi utaipata yote, nyengine hutumika kuinstall operating system (android) na nyengine apps zinazokuja na simu ndio maana free storage ni kama 2GB
 
Simu ni Zte kiss iii Max android joto huwa ni kali sana inachemka had nahis yataka explode nimenunua miez mitatu iliyopita 195000 na ina kava ambalo ni power bank
umejaribu kulitoa hilo cover? maana hata specs zake haziwez kuifanya iheat hivyo
 
Kava nimetoa ila shida ya heating bado inasumbua
 
Update hiyo simu, watakuwa tayari wame rekebisha hilo tatizo. Mi mwenyewe natumia zte nubia z9 ilikuwa na insue kama hiyo baada ya ku update tatizo limeondoka.

Juz iliNiletea msg ya kuuptudate nikafanya hvo nilitarajia makubwa ikiwamo kutoheat na kuongezeka part ya restart ila mambo yaleyale majanga
 
My phone get hot like this help pls
 
Attachments

  • 1449831391903.jpg
    1449831391903.jpg
    18.6 KB · Views: 142
Mkuu Chief-Mkwawa, naomba ufafanue hapo uliposhauri kwamba " ukibadiri rom unaweza kuirudisha ".
Nina tatizo sawa la mkuu G spanner kwangu ni ktk simu ya nokia X2 haina hiyo feature ya ku restart.
Please saidia hapo.
 
kubadili rom ni kueka custom rom iliotengenezwa na watu wengine tofauti na manufacture wa simu. mfano kwa hio x2 kuna lewa os unaweza kuigoole.

ila sidhani kama restart inajustify kubadilisha rom sababu hio rom nyengine nayo itamiss kitu chengine
 
Asante Chief-Mkwawa kwa ushauri wako mzuri wa kiufundi.
 
Back
Top Bottom