Zoom Tanzania na Human Verification

Zoom Tanzania na Human Verification

hellow guys ,, niko najaribu ku apply job kuitia zoom but inagoma kwenye ku match text (security), kila letters zinazokuja naziweka vizuri but inasema incorrect capcha,, sijui tatizo nini au natakiwa jifanyeje,,,, IT PPO PLIIZ na yeyote ambaye kapita hapo

attachment.php

hivi wewe umekuja kutu-mock ama?

948HY50 be equal to 3H U9 FT 6?

mbona hamna hata herufi moja inayoendana?

this is not jokes forum.. you have to know that..
 
Umesoma thread zote au ? rudi usome utaelewa ...
 
are you out of your mind?

nisome thread zoooote jukwaa la kazi?

ili iweje?

this forum has 100 of threads... think again of what you were supposed to tell.

sooo funny ... I mean thread za hii post ... soma soma wenzio wameelewa ndo maana unaona comments zao pia zinakubaliana na mm .
 
sasa ngoja nikwambie mdogo wangu.. kuna tofauti kubwa kati ya thread na post, sawa?

thread ni hiyo mada uliyoanzisha wewe, halafu mawazo wanayotoa wenzio yanaitwa post ama replies.

sawa mr island? ni vizuri tuwe tunaelimishana hivi.. nice to meet you buddy!
 
How old ar u mpaka uniite mdogo wako ? am older than u teh teh .. sa skia nkuelimishe tunaposema mfano apple au samsung ina threaded view type of sms tunamaanisha nn ? .. kama una smartphone jaribu kuchat na mtu kwa sms za kawaida zitajipanga moja baada ya nyingine (thread) kwa mtililiko flan unaoongelea topic au post moja .. hope umeelewa maana ya thread na threaded view of smthng ... UPOOO ? nice to virtually meet u too ...
 
Last edited by a moderator:
Hivi kuna mt yeyote aliyewahi itwa kny Interview kupitia hawa watu kwa kutuma cv yake through click to e-mail? Mi naonaga kupotezeanaga muda tu asee.

Yap nimeitwa kwenye interview 4 tofauti kupitia hiyo link unayoidharau
 
How old ar u mpaka uniite mdogo wako ? am older than u teh teh .. sa skia nkuelimishe tunaposema mfano apple au samsung ina threaded view type of sms tunamaanisha nn ? .. kama una smartphone jaribu kuchat na mtu kwa sms za kawaida zitajipanga moja baada ya nyingine (thread) kwa mtililiko flan unaoongelea topic au post moja .. hope umeelewa maana ya thread na threaded view of smthng ... UPOOO ? nice to virtually meet u too ...

Mechi ya leo Kali,Mjuaji vs Mjuaji sijui nani atashinda
 
How old ar u mpaka uniite mdogo wako ? am older than u teh teh .. sa skia nkuelimishe tunaposema mfano apple au samsung ina threaded view type of sms tunamaanisha nn ? .. kama una smartphone jaribu kuchat na mtu kwa sms za kawaida zitajipanga moja baada ya nyingine (thread) kwa mtililiko flan unaoongelea topic au post moja .. hope umeelewa maana ya thread na threaded view of smthng ... UPOOO ? nice to virtually meet u too ...

ningelikuwa na kiboko..!

umenielewa lakini nilivyokutofautishia kati ya thread na post?

i hope utakuwa umefahamu japokuwa unakaa tu unang'ang'ania kutojua!

najua kimoyomoyo unashukuru kwa hii elimu!

halafu kwenye red umemaanisha nini?
 
Duuuh naona umekimbilia kwenye mada nyingine ,, Kiswahili nakijua sana tu ndo maana Nina kiburi cha kukichezea nitakavyo na bado watu wakaelewa ... ila kuhusu thread na post uko Chaka vibaya mno .... Post ndo inaleta thread , mwendelezo wa mada ndo thread , mada yenyewe ni post ingawa unaweza ku post ndani ya thread na ukapata replies kibao ambazo kwa ujumla wake ndo zitaitwa thread ( Uzi ) ,,,, au simply jua maana ya Uzi wa sms au replies utanielewa ,,,,

A post is a message, usually on a forum or mailing list. It's an individual item.

A thread is a group of posts on a single topic. In a forum, it's inside an actual topic. On a mailing list or in a newsgroup, it would be all messages with the same subject.

Msaada mwingine wa gugo unasema hivi (A post is one individual comment or reply.
A thread is a grouping of posts, which becomes a conversation.). .....
 
Uko off topic Mzee ,, rudi kwenye topic otherwise kwenye hesabu enzi Hizo tulikuwa tunamalizia an neno "hence shown" ... Na mi nasema hence shown kwenye maana ya thread na post
 
Duuuh naona umekimbilia kwenye mada nyingine ,, Kiswahili nakijua sana tu ndo maana Nina kiburi cha kukichezea nitakavyo na bado watu wakaelewa ... ila kuhusu thread na post uko Chaka vibaya mno .... Post ndo inaleta thread , mwendelezo wa mada ndo thread , mada yenyewe ni post ingawa unaweza ku post ndani ya thread na ukapata replies kibao ambazo kwa ujumla wake ndo zitaitwa thread ( Uzi ) ,,,, au simply jua maana ya Uzi wa sms au replies utanielewa ,,,,

A post is a message, usually on a forum or mailing list. It's an individual item.

A thread is a group of posts on a single topic. In a forum, it's inside an actual topic. On a mailing list or in a newsgroup, it would be all messages with the same subject.

Msaada mwingine wa gugo unasema hivi (A post is one individual comment or reply.
A thread is a grouping of posts, which becomes a conversation.). .....

Kula like mkuuu kisiwa kwa kumkalsha huyu jamaaa anajifanya ye mjuaji sana,hahahahahha basi napenda kuona mtu anaejikuta mjuaj anavoumbukaaa
 
Pa1 saaana mkuu ,,, the best things in the world are meant to be shared ,, let's share our knowledge kupitia hapa hapa JF ...
 
Excel pamoja na ujuaji wake kaishia kuandika na kudelete tu post then kasepa kimyakimya,na uhakika hawezi kurudi tena hapa ila elimu ameshaipata he he he...!!!
 
How old ar u mpaka uniite mdogo wako ? am older than u teh teh .. sa skia nkuelimishe tunaposema mfano apple au samsung ina threaded view type of sms tunamaanisha nn ? .. kama una smartphone jaribu kuchat na mtu kwa sms za kawaida zitajipanga moja baada ya nyingine (thread) kwa mtililiko flan unaoongelea topic au post moja .. hope umeelewa maana ya thread na threaded view of smthng ... UPOOO ? nice to virtually meet u too ...

Nimeipenda hii.
 
Back
Top Bottom