Zoom-Tanzania ichunguzwe


malalamiko ya zoom yanaletwa huku bila kusema hatua gani muhusika alichukua kuwataarifu zoom, na reactions zilizochukuliwa na zoom.
matapeli wapo kila kona, hata jf hapa kuna malalamiko ya watu kutapeliwa.
huko facebook, yahoo na gmail kila siku tunapokea ma spams ya matapeli, tunachofanya ni kiwaripoti na kuwablock, sasa iwaje zoom isitumiwe na matapeli? maana zoom haichagui nani anajiunga nao, nani apost nini. cha muhimu ni wewe mwenyewe kuchuja vya maana.
kama tapeli analunyemelea wewe mripoti tu inatosha.
 
Kumbe kusoma hujui,ulipoanza kwa kunikosoa kisa language nikajua upo timamu.Ni wapi nimeandika nimetapeliwa? Wewe utakuwa ni mmoja wa wale matapeli wewe
naona kila mtu una mtuhumu ni tapeli wako. kuwa na lugha ya staha ndugu. humu humu jf watu wanasaidiana kupata ajira, kwa kiburi hicho hakuna atayekusaidia.
 
mkuu umekosea ndio,lol,sijui kama atakusaidia,mkuu Fundisi sorry kama nimekuudhi,kaka yangu anahitaji msaada hapa.
Napenda kukosolewa na napenda sana kujifunza zaidi msaada wenu tafadhali
 
naona kila mtu una mtuhumu ni tapeli wako. kuwa na lugha ya staha ndugu. humu humu jf watu wanasaidiana kupata ajira, kwa kiburi hicho hakuna atayekusaidia.
Hapana mkuu mimi si kiburi ninapojua nimekosea mara moja naomba samahani na ilikuja hasira gafla kusema hivi na sina maana ya kila mtu namshutumu ni tapeli hapana. Nimtake radhi ndugu yangu ila pale nilipokosea angenirekebisha ingependeza zaidi
 
Zoom by itself is not safe..wahuni wakutupwa hawa, sometimes yanatangaza kazi kampuni flan ila hio kampuni ukienda wanakwambia hawajatangaza hizo kazi
zoom personally sijawahi ona hiyo tabia, ila brighter monday ndio mchezo wao huo.
 
Wewe hukuwa zoomtanzania!!!!
Nina zaidi ya 4 years natumia zoom, na baadhi ya kazi niliitwa interview lakini sikuwahi ombwa pesa.
Zoom wako vizuri sana.
They're the best jobs engine search.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…