Kujaza server na kueleweshana ni kosa kumbe?Unatujazia server tu. Kama umeshaambiwa ukiona dalili fulani kwenye mchakato wa ajira achana nao huo ni utapeli, halafu ukurupuke huko ZOOM ICHUNGUZWE sasa sijui ichunguzwe kwa lipi na ushapewa angalizo na hao hao zoom.
Ngoja nikupe angalizo lingine yasije yakakukuta: Ukiona mtu kashika KY Jelly halafu anakwambia uvue nguo uiname, usikubali...badala yake chapa mbio kali. Huyo atakuwa anataka tu kukuibia chupi yako kwa kuwa ni nzuri
Jaza akili kichwani mwako, usijaze server. Zoom wamesema hivi: UKIOMBWA FEDHA HAO NI MATAPELI...full stop, nukta. Endelea kueleweshana, mimi nimemaliza na wewe.
AsanteJaza akili kichwani mwako, usijaze server. Zoom wamesema hivi: UKIOMBWA FEDHA HAO NI MATAPELI...full stop, nukta. Endelea kueleweshana, mimi nimemaliza na wewe.
Nahisi jamaa ni Muha kutoka kibondoMkuu naona umenywea kwa Jamaa. Pole sana!
muache kupotosha kuhusu brand za watu, hizo asilimia umezipata wapi?huko zoom asilimia tisini matangazo yao ya kitapeli mimi walishanitumia sana hizo msg semaa ukizisoma tu unajua kuwa ni wapigaji ukijaribu kuwapigia hawapokei, kuna siku niliwahi kumpigia rpc wa kinondoni kagande kuhusu hawa jamaa akanijibu nilipoti kituo cha porisi.
wewe na jamaa unaemlalamikia wote mna matatizoIla mkuu nilikunukuu ukisema vyuo vyote ukiondoa udsm ni takataka.
Kwakweli kwa moyo mkunjufu na uogope aliyekuumba naomba utengue kauli maana ni ubaguzi+ujinga+sio haki+upumbavu kwa ile kauli yako kwa sababu moja nakupa
Wanafunzi tanzania nzima hawawezi kusoma udsm peke yake na ni ujinga unaenda kusoma udsm sociology au pspa au kozi nyingine isiyo na tija kwa dunia ya sasa kisa tu title ya udsm ndipo utatukuta sisi wenye kacheti tu surveying cha arusha tech au dit au st joseph tukipambana site mbalimbali Africa mashariki na kati
kama imekuuma ndo uache kutumia brand za watu kufanya utapeli wa kiboya!muache kupotosha kuhusu brand za watu, hizo asilimia umezipata wapi?
Niliomba radhi kwa kuteleza kusema vile na kukosea kupo natengua hicho nilichokisemawewe na jamaa unaemlalamikia wote mna matatizo
yeye anaona ud ni bora kuliko vyuo vyote (ikakuuma sana)
wewe unaona pspa, sociology ni upuuzi bora uinjinia
ukirud ww una sota na matapeli pspa yuko kazini
Acheni utoto
Hongera sana. Ila watapeli wa mule zoom siku hizi wapo wa kumwagasimu nnayotumia nimenunua kupitia zoom, ajira nliyonayo nmeipata kupitia zoom, na application ya kazi nlituma direct kupitia zoom, nishauza gari, computer, camera na simu kupitia zoom.
Matapeli wapo kila kona, jua namna ya kupaambana nao tu.
simu nnayotumia nimenunua kupitia zoom, ajira nliyonayo nmeipata kupitia zoom, na application ya kazi nlituma direct kupitia zoom, nishauza gari, computer, camera na simu kupitia zoom.
Matapeli wapo kila kona, jua namna ya kupaambana nao tu.
I pity you! That language!! Leave it to others!!!Here we dare to talk openly my aim was not to blame in such but to remind people and zoom to investigate the job advertisements posted if they are real because now days zoom brand losting alot of job seekers at their web because of that posted shit
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
I pity you! That language!! Leave it to others!!!
Kiswahili kinakufaa zaidi we mhandisi. Kama kweli umemaliza chuo kikuu halafu huo ndo uwezo wako wa "kimalkia" basi acha wakutapeli hadi upate akili.
Narudia tena. Tumia njia rasmi waliyotoa kuripoti. Watakachokujibu leta mrejesho. Sio unabwabwaja kiingereza kibovu kama Bongo Muvi.
Ebu muulize kwanza nilipokosea ni wapi hiyo lugha? Na kama nimekosea ni vizuri kunirekebisha na sio kutoa povu
Kumbe kusoma hujui,ulipoanza kwa kunikosoa kisa language nikajua upo timamu.Ni wapi nimeandika nimetapeliwa? Wewe utakuwa ni mmoja wa wale matapeli weweI pity you! That language!! Leave it to others!!!
Kiswahili kinakufaa zaidi we mhandisi. Kama kweli umemaliza chuo kikuu halafu huo ndo uwezo wako wa "kimalkia" basi acha wakutapeli hadi upate akili.
Narudia tena. Tumia njia rasmi waliyotoa kuripoti. Watakachokujibu leta mrejesho. Sio unabwabwaja kiingereza kibovu kama Bongo Muvi.